Uchaguzi 2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

Magufuli hajui kila kitu labda chemistry tu.

Ameua uchumi
Kila anachokianzisha ni hasara.
Kwa kifupi hajui kila kitu hadi English hajui
English ya kufanyia nini?
 
Kwani TANU ya nyerere kabla ya uhuru ilikuwa na ofisi za namna gani??? Hujui Ccm waichukua majengo ya umma na kuyafanya ofisi zao?!
 
Acha kumfananisha Shujaa wa Mungu aliyeponywa risasi 16 na huo Utopolo wenu unaowaza wanawake masaa 24
 
Halafu lugha yako mbona kama ya Wilson Mahera wa NEC? Na hii ni mara ya pili unarudia jambo hilihili
 
Hoja yako imejikita kwa dictator yule, ambaye anatembea kwa nyota ya wasanii amechokwa na kujichokea vibaya mno!

#LISU4PRESIDENT2020.
 
Tundu yuko vizuri sana kuliko JPM. Anaisemea sana private sector na amekuwa akijinasibu kuisaidia private sector kuwa engine ya uchumi wa nchi kinyume na JPM ambaye ameonekana akiinasibu serikali katika kufanya kila kitu kama ivyosema ilani yao.

All in all. TL, amejipambanua zaid kuliko JPM
 
Acha kumlinganisha Magufuli na vitu vya kipumbavu

Lisu ameshindwa kuwasaidia chadema wawe na ofisi ya chama
 
Sijui ni jambo gani magu anajua vizuri isipokuwa kuhesabu madaraja na kuwadhalilisha akina mama.
Lisu anapigania haki na uhuru wa watu wale wa ulaya wenye mahusiano ya jinsia moja.
Na kutaka kizazi kisichokuwa na heshima hata kwa watu wakubwa.
Magufuli apapambania uhuru na haki wa kiuchumi kwa taifa na kwa mutu mmojammoja,
Uchumi ulio imara kwa miaka mingi ijayo.
 
Private Sector haiwezi kufanya kila kitu bila muwezeshaji ambaye ni serikali kama isingekuwa sera nzuri za UNCLE hata sasa tusingekuwa Low Middle Income Country ,Raisi anajaribu kufanya PPP kama ambavyo leo unaona tuna Twiga Mineral,Airtel share nzuri tunazo kwenye Mgodi wa Tanzanite na mengineyo ambayo hutoa Gawio ni kwa sababu ya sera nzuri za Jpm .

Huwezi kusema wewe unabinafsisha makampuni hadi reli na migodi 100% afu ubaki kukusanya kodi tu huo ni upuuzi ni lazima kodi ukusanye lakini kwa sababu serikali ni sehemu ya kampuni au shirika lipate gawio hiyo ndio Patnership nzuri ya kutuletea maendeleo .Sasa ukusanye kodi then waanze kusema tunapata hasara kila uchao kwa hiyo sector binafsi zisiachwe peke yake tuwe wabia Magu yupo vizuri sana.
 
MTANI KWETU WATU WANAPEWA NETI ZA BURE
 
******** takataka gani hilo?

Anajua nini
 
Hata nyongeza kwa watumishi wa umma miaka 5 immeshindikana kweli uchumi gani huo.
 

Sisi tunataka uhuru kwanza watu tuwe huru tusiishi kwa hofu lini tutabambikiwa kesi zisizo na dhamana hilo ndiyo jambo la kwanza lini wasiojulikana watajulikana lini vyombo vyetu vya habari vitafanya kazi yake ya kuhabarisha umma kwa kuandika habari vikiwa huru kabisa. Tunataka sekta binafsi iimarishwe ili iweze kiajiri watu na kupunguza tatizo la ajira. Sisi tunataka wananchi wafanye shuguli zao za kiuchumi wakiwa huru kabisa kwakuwa maendeleo ya Tanzania hayawezi kuletwa na seriakali yataletwa na wananchi wenyewe.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…