Uchaguzi 2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

Kwa mipango bora ya uchumi Magufuli mlinganishe na viongozi wengine wanaojielewa sio huyu lodilofa anataka kutuaminisha maendeleo yanapatikana kwa kuingia barabarani umebebeshwa mabango unapiga makopo
 
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi mzuri utoka kwenye moja ya fani zofuatazo sheria, diplomasia, biashara,uchumi hizi fani zinahitaji reasoning capacity na sio claiming capacity
 
Hilo swala ni la nchi sio chama hata Ufipa mnaweza kwenda maendeleo hayana vyama,unakwama wapi.
 
Wote hawajasoma uchumi lakini mmoja hataki kushauriwa kwa sababu yeye ni kila kitu mwingine hatataka kuwa yeye ni kila kitu kwa kauli zake

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu wa hesabu na chemistry wapi na wapi kwa uchumi? Pia mwanasheria na uchumi wapi na wapi? Wote Hawaujii vizuri uchumi
 
Kuna kitu nahofia. Watu wanaomsemea Magufuli ndi wanaomharibia. Wanaopgania ni kama wanampiga
Wanaosifia ni kama wanambomoa. Timu ya ushindi ni kama timu ya kushindwa. Kuna haja ya kuchukua tahadhari

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Nakufananisha na bashite au Jiwe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Siwez kumpa kura Jiwe hata kwa utani, bora nikupe wewe pamoja na utopolo wako

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…