Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

Karltika wagombea wote wa Uraisi , JPM ndiye aliyekuja na hoja za maendeleo, Lissu alichukua muda wote wa hotuba zake kwenye mkutano wa KM ya Chadema, kuelezea yaliyomkuta na kuzungumzia uogozi wa magufuli, na alipoalikwa ACT, hotuba yake ilikuwa ileile ya kumshutumu Magufuli na kueneza uongo, eti TZ haina marafiki na haipendwi, na hilo aliliona alipotembea Ulaya na Umarekani. Kwanza Lissu katika safari zake zote hizo hakukutana na kiongozi yoyote wa maana, ni afadhali ya Zitto alikutana na kiongozi wa Labout Party ya UK.

Lissu alizidi na kusema eti viongozi wa EA hawakuja kwenye Mazishi ya Mkapa kwa sababu ya uhusiano mbaya na magufuli, huu ni wakati wa Maradhi ya Corona viongozi wengi hawaruhusiwi na katiba kufanya safari za njee na wanachungwa. K.m.: Raisi uhuru ameweka nchi yake kwenye Lock Down, alafu yeye asafiri itakuwaje.

Ukiangalia kwa upande wa ACT, inasikitisha kuwa Membe sio mzungumzaji mzuri, na speech yake haikuwa ya kuvutia, naye ilikuwa ya kilio, lakini ilikuwa na afadhali kwani alikipongeza sana Chama chake Kipya na kukipigia debe.
 


Hivi,

Muda wa KAMPENI UMEFIKA?
 
Alimaanisha hata angekuja kiongozi yeyote tofauti na yeye kwa kipindi hata kama ni CCM wangeweza wasimalizie muradi hii kama wao waliyoiasisi.Kwahyo usipotoshe
Twambie ni nani aliyeua mradi wa kufua umeme kwa kutumia gas asilia kutoka Mtwara?

Ni chama gani kilitumia jeshi kuwaadhibu raia waliotaka mitambo ya kufua umeme ijengwe Mtwara?

Na ni chama gani kimetupilia mbali na kuacha miradi iliyogharimu utu na maisha ya watu wa kusini?

Je, tuna uhakika gani kuwa chama chenye tabia ya kuanzisha na kutelekeza baadhi ya miradi hakitatelekeza na hii ya sasa?
 
Mzee wa kutengeneza movieView attachment 1529034
Hapo eti kuwaaminisha watu kuwa anapendwa!
Ajabu akishapita watu wa eneo husika wanaulizana, yule mzee aliyetoa jogoo anakaa wapi hapa? Au kijana mchoma mahindi huwa anachomea wapi? Hakuna awajuaye na hitimisho ni kuwa "wanatufanya mafala sio?"
 

Yeye anaamini kuwa ni peke yake dunia nzima kuwa ndiye mwenye maono na uwezo wa kufanya ya maana. Wala siyo CCM Ila yeye binafsi.

Binafsi kweli kweli hili jamaa.
 
Yawezekana wakavunja kweli, mbona wimbo wa Taifa wanataka kurekebisha?
 
Umeitoa wapi
Nimeitoa wapi?!!
For asking such a question, nimegundua kumbe nabadiishana mawazo na mtu ambaye si sahihi, not only absent minded but also narrow minded person.
 
Na wewe unakubaliana na huyu jamaa?
 
Wewe daby ni sh.ger nenda kajadili mapenzi kule uliko jikita jukwaa la mapenzi. Wewe unawaza ngono tu mambo ya nchi huwezi kujua mkuu.
Mkuu nadhani uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo saana. Matusi ya nini sasa.
 
Wapinzani ni viwavi,hawapaswi kupewa nchi kwa namna yoyote iwayo
 
Very low Mgombea kiti!
 
Elewa maana ya
Human development
Economic development na economic growth ..
Kabla ya kuuliza hayo maswali yako soma hivyo vitu hapo kwanza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…