Uchaguzi 2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

Twende taratibu, nikikuambia kuwa "baba yako ni kiwavi", utafuraha neno hilo? (twende taratibu, usichukie, natoa mfano wa lugha ya kuchukiza)
Inategemea wewe unamuonaje,ka unamuona Yuko na tabia za viwavi basi ni sawa kumuita kiwavi,chadema ni viwavi tukiwapa nchi watapukutisha kila kilicho machoni mwetu

Hawafai inapaswa kwa kila raia awaye kuwapinga hawa viwavi
 
Umeme upi Stiglaz????
 
Badala yake Lissu anatakiwa anene kwenye Kampeni kuwa FlyOver na SGR zikikamilika kama yeye akiingia madarakani ataziita Magufuli Flyover na Magufuli SGR! Itakuwa imetulia sana hiyo!
 
Uzuri mwenyewe amekiri kuwa mikopo wanatoa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ingawa sio wengi
 
Baada ya cheche za Lissu naona mapovu yamekuwa ya kumwaga. Jana nikasikia rais amepewa barua ya mapema kwenye mkutano
 
Et huyo ndio Rais wa JMT!! Rais unakua na propaganda za kishamba namna hiyo!!

Et mkichagua wapinzani watavunja vunja madaraja!! . Upumbavu mtupu.

Huyu jiwe mbona ana siasa za kitoto sana!! Asifikiri WaTz wa sasa ni kama wale wa vizazi vilivyopita.

Presidential rubbish!!.
 
Lissu amewashika vibaya! haya siyo maneno ya kusemwa na Rais! Ni dalili za kuhangaika and the last outcome ni kuwapiga watu risasi!
Mkuu salama,
Yaani kwa akili zako unategemea outcome mpya?
 
Huenda aliongea kisiasa tu kama utani sidhani kama kuna mpinzani anaweza kuvunja miundombinu hata kuharibu tu hawawezi maana ni watu wenye akili timamu.
Utani gani? Hana hoja. Amezoea kuswaga ng'ombe. Hawezi kuongoza watu.
 

Hii ni hoja dhaifu kabisa isiyo na mashiko huyu ni mwepesi Sana kwenye hoja jukwaani zaidi ya mabeberu, SGR,ndege,bwawa Hana kingine tena Cha kuongea cha kuwashawishi wapiga kura
 
Magufuli ni moja ya viongozi wachache saana ambao utawapata Afrika.

Uongozi wake sio wa nadharia.... unaongea matatizo halisi yanatukabili na kadri ya uwezo wako unayafanyia kazi.
Ndo maana uchumi wetu unakufa maana rais yupo busy na petty issues.probably uwezo wake upo kwenye kudeal na hizi petty issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…