Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai


Ukabila usimikwe mara mbili boss? Hapa tunatoa mrejesho wa ule uovu mliokuwa mkiukalia kimya.
 
Magufulist wataendelea kuwepo muda mrefu sana.Hiyo ni mbegu ilyopandwa ndani ya mioyo ya watu. Wanaweza kusinyaa kidogo lakini inahitaji Magufuli mwingine tu aketi katika ofisi namba 1 waweze kustawi tena.
Hivyo huyu aliyeketi sasa, Rais Samia Suluhu Hassan hawajamuelewa?? Au hadi awe from Sukuma Gang?
 
Ni hawa ndio walikuwa wakiishi kama malaika wakati wenzao tukiishi kama mashetani! Sasa i ni zamu yao siye tushazoea shida!
 
True African legends
 
Si mmesema matatizo yote kaondoka nayo Magufuli na sasa hivi mambo ni safi yani ccm mbele kwa mbele?

Nani kasema, usitake kuleta upotoshaji wa kijinga, tumesema dhalimu kaenda motoni, nini kitaendelea wakati hilo jizi la kura na liuaji liko motoni, hilo ni suala jingine.
 
Naona unajipa matumaini kama hautakufa.Kila MTU atakufa na ataoza.Wenye akili za mavi kama ww ndio mnafikiri hamtakufa
Kiongozi wenu Sadist Jiwe aliwadanganya hatakufa ndio maana alitaka atawale milele.
 
Tulikuwepo Jana. Tupo leo na tutakuwepo kesho. Subiri 2025 ndio utaona muziki wake!
 
Nani kasema, usitake kuleta upotoshaji wa kijinga, tumesema dhalimu kaenda motoni, nini kitaendelea wakati hilo jizi la kura na liuaji liko motoni, hilo ni suala jingine.
Jizi la kura na liuaji na dhalimu kiko motoni kwahiyo kilio chenu kimesikiwa na sasa mambo ni burdani! Yani ccm mbele kwa mbele
 
wanajipendekeza kwa mama, wanamdanganya mitano tena ila hawajui Mungu anakwenda kuiokoa Tanzania kutoka mikono ya firauni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…