Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai

Magufulist wataendelea kuwepo muda mrefu sana.Hiyo ni mbegu ilyopandwa ndani ya mioyo ya watu. Wanaweza kusinyaa kidogo lakini inahitaji Magufuli mwingine tu aketi katika ofisi namba 1 waweze kustawi tena.
Team standard oryeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Oryerye
 
Magufulists hawasikiki tena. Ajabu wanaosikika kila uchao wakimtaja ni wale wanaochukia mpaka kivuli chake. Yawezekana kweli Magufulists mwisho wao kusikika ikawa Julai. Bali kwa jinsi nionavyo, haters wa JPM ni kama vile wataendelea kuweweseka naye kwenye posts zao hata baada ya hiyo Julai.
 
Wanafiki hao, hakuna opportunists kama CCM
 
Ila ukiingia deal na CCM kuwa makini sana
 
Mbona imekuwa mapema sana kama tulivyoingia uchumi wa katikati kabla ya muda
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umewapa mkasi wa kutosha wasamehe bure
 

Mtu aweweseke na maiti uliona wapi hiyo
 
Mama anafuta legacy ya mwendazake taratiibu
 
Mjinga tu wewe. Inaelekea ni mchumia tumbo cheti feki. Magufulists wanatoa angalizo kuhusu falsafa ya shujaa wao na taifa kuendelea kua mwongozo. Falsafa hio ni mtindo sahihi kujenga taifa kama alivyotarajia mwalimu nyerere. Samia kaapa kufuata njia ya magufuli. Wanachofuatilia magufulists ni kuona hatetereki. Nyie wapigaji mnachekelea kudhani mumeshinda kwa kufa magufuli. Msichojua ni kwamba magufuli aliyelala kaburini ni hatari kwenu zaidi maana sasa magufuli anaishi ndani ya mioyo ya watanzania
 

Bado mnamiezi miwili pambaneni
 
Wazee wa legacy mbona mna hasira, eti Magufuli aliyekufa ni hatari zaidi, haya endeleeni kuota.
 
Naona unajipa matumaini kama hautakufa.Kila MTU atakufa na ataoza.Wenye akili za mavi kama ww ndio mnafikiri hamtakufa
Kama ni hivyo mbona mmedhurumu sana roho za wengine?!!mimi nikajua labda nyie hamtakuja kufa!!kwani hata vifo vya wengine havikuwauma kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…