Magufulists wamebaki kutapatapa, hatutawasikia tena ifikapo mwezi Julai


Ole Sebaya
 
Mama atusha,tumeshamkabidhi vitendea kazi na ufagio wake chuma
 
Kama unatukana Magufulist alafu unatumia kila kitu cha magufuli kuanzia stendi, barabara ,zahanati, ndege unakuwa huna akili kabisa
 
Ameeeeeeen

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kama unatukana Magufulist alafu unatumia kila kitu cha magufuli kuanzia stendi, barabara ,zahanati, ndege unakuwa huna akili kabisa

We mshamba kweli

Magufuli Hana chake labda wewe mkewe
 

Usipoteze muda kuwaelimisha Wapumbavu. Muda utasema na hawa hawa kina Joka kuu watarudi humu wakitoa mapovu kumsema Vibaya SSH kwani ndio agenda wanayoitengeneza kwa sasa
 
Nilisoma mahala kwamba siku zote watu wenye akili husimama na principles sio mtu!

Sikuwahi kuona rais mbovu kama yule mwendazake! Angekuwepo tungeambiwa uchumi unakuwa kwa 7% wakati hali mbaya.

Alikuwa na kila sifa mbaya ambayo kiongozi hatakiwi kuwa nayo.

Shame shame shame!
 
Wanatakiwa kujua Mungu yupo kazini siku zote na anawanyeshea mvua wema na wabaya. Tena wajue kuwa Bwana asipoulinda mji, walindao wakesha bure.
 
. Wamebakiza mwezi mmoja sasa
 
Wanatakiwa kujua Mungu yupo kazini siku zote na anawanyeshea mvua wema na wabaya. Tena wajue kuwa Bwana asipoulinda mji, walindao wakesha bure.


Wamebakiza mwezi mmoja sasa
 
Magufulist ni kundi lililokuwa na Ajenda tofauti tofauti kikundi kikubwa kilikuwa ni Wasaka teuzi wakifuatiwa na Wakabila halafu kuna Machinga walioruhusiwa kufunga Mitaa na Mabarabara ili kuchuuza bidhaa zao.

Magufulist wote ni Waganga njaa tu watokomee kusiko julikana
 
Ahsante mkuu..umeongea vizuri Sana.
Kikubwa tuwaenzi viongozi wetu..wamefanya makubwa Sana.
 

Wana mwezi mmoja sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…