ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kutoka UDSM wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo ada.
DVP-Academic amewatangaza Wanawake 3 ambao eamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8.
Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za Wanaume.
Swali:
Ikiwa wanawake wanazidi kupata Ufaulu mzuri kiasi hiki, vijana vilaza mtawezaje kuoa na kuishi na wanawake vipanga?
Na nyie wanawake vipanga hakikisheni hamleti mambo ya GPA kwenye ndoa maana yatawashinda na kuishiwa kuwa single mom.
My Take
Ianzishwe Programu ya Men Empowerment Kwa sababu tuendako kutakuwa na crisis ya Wanaume maana mwanamke akichungulia Makaratasi akakuta amemzidi atapata shida kumkubali kama Kiongozi wa familia.
Pisi kipanga hawezi kubali kuwa submissive Kwa Mwanaume kilaza labda itokee ajali ya umri 😬😬