Mahafali ya 53 UDSM: Wanawake vipanga waongoza kwa ufaulu na kuwabwaga wanaume

Kutoka UDSM ,wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo Ada.

DVP-Academic Amewatangaza Wanawake 3 ambao Wamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8.

Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu Kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za Wanaume.

Swali:
Ikiwa Wanawake Wanazidi Kupata Ufaulu Mzuri kiasi hiki,Vijana Vilaza mtawezaje Kuoa na Kuishi na Wanawake Vipanga ?

Na nyie Wanawake Vipanga hakikisheni hamleti mambo ya GPA kwenye ndoa maana yatawashinda na kuishiwa kuwa single mom.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAa83ZGKvQ9/?igsh=eHh2MW0zaDhlcWJ6

My Take
Ianzishwe Programu ya Men Empowerment Kwa sababu tuendako kutakuwa na crisis ya Wanaume maana mwanamke akichungulia Makaratasi akakuta amemzidi atapata shida kumkubali kama Kiongozi wa familia.

Pisi kipanga hawezi kubali kuwa submissive Kwa Mwanaume kilaza labda itokee ajali ya umri 😬😬

Shida unaishi kukariri sana.
Akili za darasani sio sawa na akili ama busara ya mtaani.
Katika watu VILAZA WA BUSARA NA UPEMBUZI NI WANAWAKE WENYE AKILI KUBWA.
Kwasababu akili zao huwaza ndani ya box wakijiona wanajua kila kitu kulingana na usomi wao.
 
KWA FRESHERS ( FIRST YEAR) NA CONTINUOS........, KARIBUNI......,MJIPATIE ......,VYUMBA VILIVYO......,. KARIBU NA VYUO VYA MIKOA YA KILIMANJARO-MOSHI...NA...ARUSHA---.....WASILIANA ........NAMI...
..
#MOCU,#KCMC,#MWENGE,#MWEKA.......#IAA,#TENGERU.,#NELSON_MANDELA
..
..0672701329.........
 
Kutoka UDSM wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo ada.

DVP-Academic amewatangaza Wanawake 3 ambao eamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8.

Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za Wanaume.

Swali:
Ikiwa wanawake wanazidi kupata Ufaulu mzuri kiasi hiki, vijana vilaza mtawezaje kuoa na kuishi na wanawake vipanga?

Na nyie wanawake vipanga hakikisheni hamleti mambo ya GPA kwenye ndoa maana yatawashinda na kuishiwa kuwa single mom.

My Take
Ianzishwe Programu ya Men Empowerment Kwa sababu tuendako kutakuwa na crisis ya Wanaume maana mwanamke akichungulia Makaratasi akakuta amemzidi atapata shida kumkubali kama Kiongozi wa familia.

Pisi kipanga hawezi kubali kuwa submissive Kwa Mwanaume kilaza labda itokee ajali ya umri 😬😬
Kunachangamoto kubwa hata huku Primary shule nyingi wanafunzi waking wanafanya vizuri,miaka 20 inayokuja tusipokaa vizuri wanawake watadominate kila mahali
 
Kutoka UDSM wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo ada.

DVP-Academic amewatangaza Wanawake 3 ambao eamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8.

Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za Wanaume.

Swali:
Ikiwa wanawake wanazidi kupata Ufaulu mzuri kiasi hiki, vijana vilaza mtawezaje kuoa na kuishi na wanawake vipanga?

Na nyie wanawake vipanga hakikisheni hamleti mambo ya GPA kwenye ndoa maana yatawashinda na kuishiwa kuwa single mom.

My Take
Ianzishwe Programu ya Men Empowerment Kwa sababu tuendako kutakuwa na crisis ya Wanaume maana mwanamke akichungulia Makaratasi akakuta amemzidi atapata shida kumkubali kama Kiongozi wa familia.

Pisi kipanga hawezi kubali kuwa submissive Kwa Mwanaume kilaza labda itokee ajali ya umri 😬😬

View: https://www.instagram.com/p/DAq2tOLKDt3/?igsh=dHJxbTRnY3FocjEz
 
Back
Top Bottom