Mahafali ya 53 UDSM: Wanawake vipanga waongoza kwa ufaulu na kuwabwaga wanaume

Kutoka UDSM ,wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo Ada.

DVP-Academic Amewatangaza Wanawake 3 ambao Wamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8.

Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu Kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za Wanaume.

Swali:
Ikiwa Wanawake Wanazidi Kupata Ufaulu Mzuri kiasi hiki,Vijana Vilaza mtawezaje Kuoa na Kuishi na Wanawake Vipanga ?

Na nyie Wanawake Vipanga hakikisheni hamleti mambo ya GPA kwenye ndoa maana yatawashinda na kuishiwa kuwa single mom.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAa83ZGKvQ9/?igsh=eHh2MW0zaDhlcWJ6

My Take
Ianzishwe Programu ya Men Empowerment Kwa sababu tuendako kutakuwa na crisis ya Wanaume maana mwanamke akichungulia Makaratasi akakuta amemzidi atapata shida kumkubali kama Kiongozi wa familia.

= mahafali.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nakumbuka mwaka 2009 wakati naenda kusoma udsm nilifurahi sana nikajua maisha nimeshatoboa tayari... Leo 2024 maisha yananishona mbaya, kila iitwayo Leo maisha yananifua mbaya...
Pole sana ,digrii isipokupa maisha kuna hata bodaboda 😂😂
 
Kutoka UDSM ,wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo Ada.

DVP-Academic Amewatangaza Wanawake 3 ambao Wamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8.

Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu Kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za Wanaume.

Swali:
Ikiwa Wanawake Wanazidi Kupata Ufaulu Mzuri kiasi hiki,Vijana Vilaza mtawezaje Kuoa na Kuishi na Wanawake Vipanga ?

Na nyie Wanawake Vipanga hakikisheni hamleti mambo ya GPA kwenye ndoa maana yatawashinda na kuishiwa kuwa single mom.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAa83ZGKvQ9/?igsh=eHh2MW0zaDhlcWJ6

My Take
Ianzishwe Programu ya Men Empowerment Kwa sababu tuendako kutakuwa na crisis ya Wanaume maana mwanamke akichungulia Makaratasi akakuta amemzidi atapata shida kumkubali kama Kiongozi wa familia.

Sasa kama wamekubali kuvua vyupi unadhani kuna upinzani hapo. Degree zao nyingi ni za kuvuliwa vyupi.
 
Kutoka UDSM ,wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo Ada.

DVP-Academic Amewatangaza Wanawake 3 ambao Wamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8.

Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu Kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za Wanaume.

Swali:
Ikiwa Wanawake Wanazidi Kupata Ufaulu Mzuri kiasi hiki,Vijana Vilaza mtawezaje Kuoa na Kuishi na Wanawake Vipanga ?

Na nyie Wanawake Vipanga hakikisheni hamleti mambo ya GPA kwenye ndoa maana yatawashinda na kuishiwa kuwa single mom.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAa83ZGKvQ9/?igsh=eHh2MW0zaDhlcWJ6

My Take
Ianzishwe Programu ya Men Empowerment Kwa sababu tuendako kutakuwa na crisis ya Wanaume maana mwanamke akichungulia Makaratasi akakuta amemzidi atapata shida kumkubali kama Kiongozi wa familia.

Pisi kipanga hawezi kubali kuwa submissive Kwa Mwanaume kilaza labda itokee ajali ya umri 😬😬

Wanapewa majibu au wakufunzi ni mabwana zao
 
Kuwa na GPA kubwa haikufanyi kuwa mtaalam kwenye mapenzi lkn pia kwenye ndoa .

Mkuuu so ni vitu viwili tofauti

Mkuuu

Kupata ufaulu mzuri doesn't means kwamba your intelligent brother yamkini kuna kukariri pia ,na vitu vingi mkuu
Lakin it means you are brilliant
 
Fuatilia zile programs dume kama Actuarial sciences na Chemical Engineering uone kama kuna malaya wameshikilia mwenge.

Vikozi vya kike kama Sociology, Sijui uhasibu na Mass Media huko ndio wavua chupi wamejaa
Ungekuwa unasoma usingeongea hizo pumba,hao wanawake hapo wameongoza kwenye hizo hizo unazoita program dume.
 
Back
Top Bottom