Mahafali ya 53 UDSM: Wanawake vipanga waongoza kwa ufaulu na kuwabwaga wanaume

Mahafali ya 53 UDSM: Wanawake vipanga waongoza kwa ufaulu na kuwabwaga wanaume

Dunia inakwenda Kwa makaratasi,mkioana wasomi watupu kama.anakuzidi GPA umekwisha.

Wa hivyo wanaweza survive Kwa kuona watu wenye career 2 tofauti mfano Mbowe (Siasa) na Mke wake Daktari ila ingekuwa wote madakatari harafu Mwanamama ndio awe na GPA Kali umekwisha brother,hiyo ni sychology ya Wanawake na mahusiano.
Halafu mbowe alipata zero fomu six...
 
Pole sana mwamba, mimi nimeona hiyo GPA 4.8 nikakumbuka matokeo yangu ya 1st Semester miaka hiyo.
Baada ya hapo God knows.
Sio kwa nusurika nusurika zile za Kudisco 🤣
Hahahahaha mkuu nakumbuka kuna course Moja nilipata supplementary na nikashindwa kuichomoa so nikai-carry mwaka wa tatu... Aisee mwaka wa tatu nilikua nasoma kwa presha kuliko Simba tulivyopigwa kagoli ka-away na Mabululu, Third year nilikua nasoma kuepusha aibu nisije nikarudi chuo wazazi wakaja kujua.... Nakumbuka nilikua nakaa geto lakini usiku nilikua naenda kujisomea chuo utadhani mtoto wa sekondari.
 
Kiwango cha ufaulu kimeongezeka si kwa wanawake tu hata wanaume pia, hii ni kwa mujibu wa taarifa zilizopo.
Wasiwasi wangu ni matokeo ya jumla ya kiwango kikubwa cha ufahamu elimu na maarifa maana ufaulu hutazamwa katika engo nyingi.
Mbona huku mtaani hakuna matokeo chanya kulingana na wataamu wengi wazuri sana wanazalishwa na vyuo vikuu vyetu.
Kwenye sheria tunafeli kwa mengi, uhandisi tunaona wageni wanavyofanya kazi, huko hospitalini wagonjwa wanataabika nakadhalika nakadhalika?
 
Fuatilia zile programs dume kama Actuarial sciences na Chemical Engineering uone kama kuna malaya wameshikilia mwenge.

Vikozi vya kike kama Sociology, Sijui uhasibu na Mass Media huko ndio wavua chupi wamejaa

Kwenye hiyo habari kuna mwanamke mmojapo amemaliza Chemical Engineering na GPA 4.8 anaitwa Edina Meela
 
Mleta kama wewe ni dume mchukue mwanamke alafu msafiri mkoa tofauti na unapoishi alafu huko mtakapofika msiwe na ela ya kuchukua chumba cha kulala alafu yeye (mwanamke)na wewe Mwanaume nani atalala nje? Sijui umenielewa?
 
Hahahahaha mkuu nakumbuka kuna course Moja nilipata supplementary na nikashindwa kuichomoa so nikai-carry mwaka wa tatu... Aisee mwaka wa tatu nilikua nasoma kwa presha kuliko Simba tulivyopigwa kagoli ka-away na Mabululu, Third year nilikua nasoma kuepusha aibu nisije nikarudi chuo wazazi wakaja kujua.... Nakumbuka nilikua nakaa geto lakini usiku nilikua naenda kujisomea chuo utadhani mtoto wa sekondari.
Lakini mwisho wa siku ukavuka salama.

Si mchezo, kuna Course unakuta inakukataa tu! Nyingine inaingia kwenye mfumo wako.

Halafu maisha hayaamuliwi na hayo ma GPA kabisa. 🤣🤣🤣.

Sometimes huwa najisemea nilivyomaliza Class Seven, ningeendelea na mambo yangu this time ningekuwa mbali sana.
 
UDSM imeingia kwenye mfumo wa mama Kizimkazi?

Ila kwa dizaini ya Wahadhiri wa aina ya aliyekuwa RC wa Simiyu (sijui Dr. nani yule?) INAWEZEKANA KABISA. Papuchi na Shithole hazijawahi kuwaacha salama Wahadhiri wa kizazi kipya.
 
Back
Top Bottom