NUMAN
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 807
- 1,164
Halafu mbowe alipata zero fomu six...Dunia inakwenda Kwa makaratasi,mkioana wasomi watupu kama.anakuzidi GPA umekwisha.
Wa hivyo wanaweza survive Kwa kuona watu wenye career 2 tofauti mfano Mbowe (Siasa) na Mke wake Daktari ila ingekuwa wote madakatari harafu Mwanamama ndio awe na GPA Kali umekwisha brother,hiyo ni sychology ya Wanawake na mahusiano.