Mahakama badala ya kutoa haki na hukumu inaelekeza sehemu nyingine ukaipate

Mahakama ndiyo chombo cha mwisho kuamua ndiyo ama hapana.unakwenda mahakamani kutafuta haki halafu mahakama inaelekeza uende sehemu nyingine ndiyo itahukumu.mfano kesi ya CCM kutumia watoto ktk siasa.mahakama imenifikilisha sana.na huko walikoelekezwa ikaamue wana huo ubavu wa kuamua labda kama ingekuwa chadema ni Fasta😄📌
Mahakama za Tanzania ni vikao vya kamati za CCM!
 
Mahakama ndiyo chombo cha mwisho kuamua ndiyo ama hapana.unakwenda mahakamani kutafuta haki halafu mahakama inaelekeza uende sehemu nyingine ndiyo itahukumu.mfano kesi ya CCM kutumia watoto ktk siasa.mahakama imenifikilisha sana.na huko walikoelekezwa ikaamue wana huo ubavu wa kuamua labda kama ingekuwa chadema ni Fasta😄📌
hiyo ndiyo haki yenyewe ilivyo mihemko ya nini sasa?.

Pelekeni malalamiko panapo husika.

ulipaswa kwenda mahakamani kuishitaki hiyo taasisi uloelekezwa kupeleka malalamiko yako sio kupeleka malalamiko mahakamani 🐒
 
Soma mother law( katiba). Mimi ni lawyer ndugu
Lawyer wa Tanzania ni kama yule Mutusi ambaye hajui Hata Kampuni inaumbwaje

Haki zote za Mtanzania ziko kwenye Katiba ya JMT 1977

Ukienda mahakamani huendi kuomba Haki bali unaenda kuomba Tafsiri ya Katiba Ili Ijulikanae Haki inayogombaniwa ni ya nani

Jumaa Karim 😄
 
Mahakama ndiyo chombo cha mwisho kuamua ndiyo ama hapana.unakwenda mahakamani kutafuta haki halafu mahakama inaelekeza uende sehemu nyingine ndiyo itahukumu.mfano kesi ya CCM kutumia watoto ktk siasa.mahakama imenifikilisha sana.na huko walikoelekezwa ikaamue wana huo ubavu wa kuamua labda kama ingekuwa chadema ni Fasta😄📌
Hivi nguruwe bado huchomwa mkuki?
 
Back
Top Bottom