Mahakama badala ya kutoa haki na hukumu inaelekeza sehemu nyingine ukaipate

= imenifikirisha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Inatafsiri sheria ili iweje?
Zitumike ipasavyo

Kwa mfano nyie Chadema mna haki ya kuwakilishwa bungeni na Wabunge 19 wa Viti Maalum

Na tayari Mnyika alipeleka orodha ya majina 19 bila idhini ya Kamati Kuu

Sasa Mahakama ndio yenye Jukumu la kutafsiri Uhalali wa akina Halima Mdee kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977
 
Hivi vyombo vya kina Dr Tulia😂😅
 
Huyu jon baptist ni memkwa.. kwa hiyo mahakama inapohukumu mtu kwenda jela huwa imetafsiri sheria au imetoa haki?
 
MEMKWA inakuhusu!
 
Ni kama mwalimu wa Karateee upo dojo unawafundisha wanafunzi, anakuja Mbabe/Mjuba wewe unamkimbia Mjuba kwa kuwatelekeza wanafunzi!!!
Badala bya kumtwanga wanafunzi waone!!!

Ila TZ hamna Mahakama!! Judge anapewa maelekezo ya hukumu kwa cm 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…