Mahakama haina mamlaka ya kumwita Rais Samia kutoa ushahidi – Mwinuka

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19.

Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria hiyo, mahakama haina uwezo wa kutoa wito wa kumtaka Rais kufika mahakamani kutoa ushahidi au kushiriki shughuli nyingine zozote za kimahakama.

“Kwa upande mwingine, kifungu hicho kinaeleza msingi wa utoaji wa taarifa. Kwa kuzingatia kwamba mshtakiwa anahitaji kuwaita baadhi ya mashahidi, anaomba Mahakama hii itoe wito ili mashahidi hao waweze kufika mahakamani, kwa sababu anahitaji kuonana nao na kupata ushahidi unaohitajika ili aweze kujitetea,” amesema Mwinuka.

Pia amesema kuwa kwa upande wa maafisa wa Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), nafasi na majukumu yao ya kikazi yanawawekea mipaka katika kutoa taarifa kwa kuwa hawawezi kuweka hadharani kila kitu wanachokifahamu.

“Kwa hiyo, hatuoni kama ni sahihi kuwalazimisha kutoa taarifa ambazo zinaweza kuwa na siri au taarifa nyeti wanazozifahamu kwa mujibu wa majukumu yao,” ameeleza.

Aidha, amesema sheria hiyo imeweka masharti na adhabu kuhusu utunzaji na utoaji wa taarifa hizo.

“Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuiingiza Mahakama hii katika mgogoro wa kisheria unaohusiana na taarifa ambazo, kwa mujibu wa sheria, zinapaswa kubaki kuwa siri,” amesema.

SOURCE: bbc.com
 
Kitendo cha Lissu, kuililia mahakamani kwa hoja za huruma si msingi wa mahakama kufanya maamuzi.
 
Sio kwamba haina uwezo, mahakama inaweza kumpa samansi, ni kwamba raisi ana hiari ya kwenda au kutokwenda, na mahakama haiwezi mwajibisha. Huyo wakili ni mpiga zumari.

Nje ya mada: Tutarajie sheria hiyo kubadilishwa baada ya kesi hii. Mtuhumiwa ni mtundu. 😊
Hukujapata kitokea mtuhumiwa mtundu kama huyo.
 
Kitendo cha Lissu, kuililia mahakamani kwa hoja za huruma si msingi wa mahakama kufanya maamuzi.
1787299041969.jpg
 
Wanaukumbi.

Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19.
Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria hiyo, mahakama haina uwezo wa kutoa wito wa kumtaka Rais kufika mahakamani kutoa ushahidi au kushiriki shughuli nyingine zozote za kimahakama.
“Kwa upande mwingine, kifungu hicho kinaeleza msingi wa utoaji wa taarifa. Kwa kuzingatia kwamba mshtakiwa anahitaji kuwaita baadhi ya mashahidi, anaomba Mahakama hii itoe wito ili mashahidi hao waweze kufika mahakamani, kwa sababu anahitaji kuonana nao na kupata ushahidi unaohitajika ili aweze kujitetea,” amesema Mwinuka.
Pia amesema kuwa kwa upande wa maafisa wa Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), nafasi na majukumu yao ya kikazi yanawawekea mipaka katika kutoa taarifa kwa kuwa hawawezi kuweka hadharani kila kitu wanachokifahamu.
“Kwa hiyo, hatuoni kama ni sahihi kuwalazimisha kutoa taarifa ambazo zinaweza kuwa na siri au taarifa nyeti wanazozifahamu kwa mujibu wa majukumu yao,” ameeleza.
Aidha, amesema sheria hiyo imeweka masharti na adhabu kuhusu utunzaji na utoaji wa taarifa hizo.
“Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuiingiza Mahakama hii katika mgogoro wa kisheria unaohusiana na taarifa ambazo, kwa mujibu wa sheria, zinapaswa kubaki kuwa siri,” amesema.

SOURCE; bbc.com
Watoto wa shetani ni waongo kama baba wa uongo.
Rais anapelekewa summons vizuri tu kupitia Katibu Mkuu Kiongozi au PS wake, ila kutokea au kutotokea mahakamani ni uamuzi wake, na hawezi kuchukuliwa hatua kwa kutokutokea mahakamani.

CCM ni baba wa uongo.
 
Kitendo cha Lissu, kuililia mahakamani kwa hoja za huruma si msingi wa mahakama kufanya maamuzi.
Huruma sio malezi-nasikia huu msemo ulitumika leo mahakamani
 
Watoto wa shetani ni waongo kama baba wa uongo.
Rais anapelekewa summons vizuri tu kupitia Katibu Mkuu Kiongozi au PS wake, ila kutokea au kutotokea mahakamani ni uamuzi wake, na hawezi kuchukuliwa hatua kwa kutokutokea mahakamani.

CCM ni baba wa uongo.
Unayo rejea ya uongo wako?
 
Wanaukumbi.

Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19.

Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria hiyo, mahakama haina uwezo wa kutoa wito wa kumtaka Rais kufika mahakamani kutoa ushahidi au kushiriki shughuli nyingine zozote za kimahakama.

“Kwa upande mwingine, kifungu hicho kinaeleza msingi wa utoaji wa taarifa. Kwa kuzingatia kwamba mshtakiwa anahitaji kuwaita baadhi ya mashahidi, anaomba Mahakama hii itoe wito ili mashahidi hao waweze kufika mahakamani, kwa sababu anahitaji kuonana nao na kupata ushahidi unaohitajika ili aweze kujitetea,” amesema Mwinuka.

Pia amesema kuwa kwa upande wa maafisa wa Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), nafasi na majukumu yao ya kikazi yanawawekea mipaka katika kutoa taarifa kwa kuwa hawawezi kuweka hadharani kila kitu wanachokifahamu.

“Kwa hiyo, hatuoni kama ni sahihi kuwalazimisha kutoa taarifa ambazo zinaweza kuwa na siri au taarifa nyeti wanazozifahamu kwa mujibu wa majukumu yao,” ameeleza.

Aidha, amesema sheria hiyo imeweka masharti na adhabu kuhusu utunzaji na utoaji wa taarifa hizo.

“Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuiingiza Mahakama hii katika mgogoro wa kisheria unaohusiana na taarifa ambazo, kwa mujibu wa sheria, zinapaswa kubaki kuwa siri,” amesema.

SOURCE: bbc.com
Katika mahakama za kiislam, muongozo.unatoa kwamba yoyote a aweza kuitwa ili haki itendeke
 
Mzee Said Mohamed umekuja na ile ID nyingine! Kwa taarifa yako siyo mara ya kwanza kwa Usalama wa taifa kutoa ushahidi mahakamani. Walishatoa ushahidi wakati wa kesi ya uhaini ya ''1980...''
 
Vijana wa juzi juzi hawajui historia ya nchi hii, kuongezea tu hata BM MKapa amewahi kuwa summoned na mahakama
 
Wanaukumbi.

Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19.

Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria hiyo, mahakama haina uwezo wa kutoa wito wa kumtaka Rais kufika mahakamani kutoa ushahidi au kushiriki shughuli nyingine zozote za kimahakama.

“Kwa upande mwingine, kifungu hicho kinaeleza msingi wa utoaji wa taarifa. Kwa kuzingatia kwamba mshtakiwa anahitaji kuwaita baadhi ya mashahidi, anaomba Mahakama hii itoe wito ili mashahidi hao waweze kufika mahakamani, kwa sababu anahitaji kuonana nao na kupata ushahidi unaohitajika ili aweze kujitetea,” amesema Mwinuka.

Pia amesema kuwa kwa upande wa maafisa wa Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), nafasi na majukumu yao ya kikazi yanawawekea mipaka katika kutoa taarifa kwa kuwa hawawezi kuweka hadharani kila kitu wanachokifahamu.

“Kwa hiyo, hatuoni kama ni sahihi kuwalazimisha kutoa taarifa ambazo zinaweza kuwa na siri au taarifa nyeti wanazozifahamu kwa mujibu wa majukumu yao,” ameeleza.

Aidha, amesema sheria hiyo imeweka masharti na adhabu kuhusu utunzaji na utoaji wa taarifa hizo.

“Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuiingiza Mahakama hii katika mgogoro wa kisheria unaohusiana na taarifa ambazo, kwa mujibu wa sheria, zinapaswa kubaki kuwa siri,” amesema.

SOURCE: bbc.com
Mnataka mtu anyongwe kisa kuna mambo hamuwezi kusema... Mbona mashaidi wa kificho walikuwepo
 
Nitaongea na Mama Rais wetu msikivu na mwenyekiti wetu wa chama cha mapinduzi CCM aweke huruma kwa huyu kijana mtukutu amsamehe......wote semeni tawiiiiiiireeeee
 
Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 13
Back
Top Bottom