Kitendo cha Lissu, kuililia mahakamani kwa hoja za huruma si msingi wa mahakama kufanya maamuzi.

Watoto wa shetani ni waongo kama baba wa uongo.Wanaukumbi.
Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19.
Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria hiyo, mahakama haina uwezo wa kutoa wito wa kumtaka Rais kufika mahakamani kutoa ushahidi au kushiriki shughuli nyingine zozote za kimahakama.
“Kwa upande mwingine, kifungu hicho kinaeleza msingi wa utoaji wa taarifa. Kwa kuzingatia kwamba mshtakiwa anahitaji kuwaita baadhi ya mashahidi, anaomba Mahakama hii itoe wito ili mashahidi hao waweze kufika mahakamani, kwa sababu anahitaji kuonana nao na kupata ushahidi unaohitajika ili aweze kujitetea,” amesema Mwinuka.
Pia amesema kuwa kwa upande wa maafisa wa Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), nafasi na majukumu yao ya kikazi yanawawekea mipaka katika kutoa taarifa kwa kuwa hawawezi kuweka hadharani kila kitu wanachokifahamu.
“Kwa hiyo, hatuoni kama ni sahihi kuwalazimisha kutoa taarifa ambazo zinaweza kuwa na siri au taarifa nyeti wanazozifahamu kwa mujibu wa majukumu yao,” ameeleza.
Aidha, amesema sheria hiyo imeweka masharti na adhabu kuhusu utunzaji na utoaji wa taarifa hizo.
“Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuiingiza Mahakama hii katika mgogoro wa kisheria unaohusiana na taarifa ambazo, kwa mujibu wa sheria, zinapaswa kubaki kuwa siri,” amesema.
SOURCE; bbc.com
Huruma sio malezi-nasikia huu msemo ulitumika leo mahakamaniKitendo cha Lissu, kuililia mahakamani kwa hoja za huruma si msingi wa mahakama kufanya maamuzi.
Unayo rejea ya uongo wako?Watoto wa shetani ni waongo kama baba wa uongo.
Rais anapelekewa summons vizuri tu kupitia Katibu Mkuu Kiongozi au PS wake, ila kutokea au kutotokea mahakamani ni uamuzi wake, na hawezi kuchukuliwa hatua kwa kutokutokea mahakamani.
CCM ni baba wa uongo.
Katika mahakama za kiislam, muongozo.unatoa kwamba yoyote a aweza kuitwa ili haki itendekeWanaukumbi.
Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19.
Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria hiyo, mahakama haina uwezo wa kutoa wito wa kumtaka Rais kufika mahakamani kutoa ushahidi au kushiriki shughuli nyingine zozote za kimahakama.
“Kwa upande mwingine, kifungu hicho kinaeleza msingi wa utoaji wa taarifa. Kwa kuzingatia kwamba mshtakiwa anahitaji kuwaita baadhi ya mashahidi, anaomba Mahakama hii itoe wito ili mashahidi hao waweze kufika mahakamani, kwa sababu anahitaji kuonana nao na kupata ushahidi unaohitajika ili aweze kujitetea,” amesema Mwinuka.
Pia amesema kuwa kwa upande wa maafisa wa Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), nafasi na majukumu yao ya kikazi yanawawekea mipaka katika kutoa taarifa kwa kuwa hawawezi kuweka hadharani kila kitu wanachokifahamu.
“Kwa hiyo, hatuoni kama ni sahihi kuwalazimisha kutoa taarifa ambazo zinaweza kuwa na siri au taarifa nyeti wanazozifahamu kwa mujibu wa majukumu yao,” ameeleza.
Aidha, amesema sheria hiyo imeweka masharti na adhabu kuhusu utunzaji na utoaji wa taarifa hizo.
“Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuiingiza Mahakama hii katika mgogoro wa kisheria unaohusiana na taarifa ambazo, kwa mujibu wa sheria, zinapaswa kubaki kuwa siri,” amesema.
SOURCE: bbc.com
We kilaza shtuka Lissu ana kesi ya kujibu
Mzee Said Mohamed umekuja na ile ID nyingine! Kwa taarifa yako siyo mara ya kwanza kwa Usalama wa taifa kutoa ushahidi mahakamani. Walishatoa ushahidi wakati wa kesi ya uhaini ya ''1980...''Wanaukumbi.
Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19.
Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria hiyo, mahakama haina uwezo wa kutoa wito wa kumtaka Rais kufika mahakamani kutoa ushahidi au kushiriki shughuli nyingine zozote za kimahakama.
“Kwa upande mwingine, kifungu hicho kinaeleza msingi wa utoaji wa taarifa. Kwa kuzingatia kwamba mshtakiwa anahitaji kuwaita baadhi ya mashahidi, anaomba Mahakama hii itoe wito ili mashahidi hao waweze kufika mahakamani, kwa sababu anahitaji kuonana nao na kupata ushahidi unaohitajika ili aweze kujitetea,” amesema Mwinuka.
Pia amesema kuwa kwa upande wa maafisa wa Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), nafasi na majukumu yao ya kikazi yanawawekea mipaka katika kutoa taarifa kwa kuwa hawawezi kuweka hadharani kila kitu wanachokifahamu.
“Kwa hiyo, hatuoni kama ni sahihi kuwalazimisha kutoa taarifa ambazo zinaweza kuwa na siri au taarifa nyeti wanazozifahamu kwa mujibu wa majukumu yao,” ameeleza.
Aidha, amesema sheria hiyo imeweka masharti na adhabu kuhusu utunzaji na utoaji wa taarifa hizo.
“Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuiingiza Mahakama hii katika mgogoro wa kisheria unaohusiana na taarifa ambazo, kwa mujibu wa sheria, zinapaswa kubaki kuwa siri,” amesema.
SOURCE: bbc.com
Haa haa mwehu ni Mudi gaidi aliyeoa mtoto wa miaka 9.Anajiita mandela,awe tayari kula kifungo mwehu huyo
Vijana wa juzi juzi hawajui historia ya nchi hii, kuongezea tu hata BM MKapa amewahi kuwa summoned na mahakamaMzee Said Mohamed umekuja na ile ID nyingine! Kwa taarifa yako siyo mara ya kwanza kwa Usalama wa taifa kutoa ushahidi mahakamani. Walishatoa ushahidi wakati wa kesi ya uhaini ya ''1980...''
Mnataka mtu anyongwe kisa kuna mambo hamuwezi kusema... Mbona mashaidi wa kificho walikuwepoWanaukumbi.