Mahakama haina mamlaka ya kumwita Rais Samia kutoa ushahidi – Mwinuka

Kitendo cha Lissu, kuililia mahakamani kwa hoja za huruma si msingi wa mahakama kufanya maamuzi.
Sasa mmejaa vizuri kwenye ule utapeli wa siku nyingi kuwa hakuna aliye juu ya sheria. Kuna watu tumekuwa tukawaambia hiyo lugha ni ya uongo wa dhahiri, wajinga tu ndio wanaweza kuamini kuwa hakuna aliye juu ya sheria. Ukweli huo Lisu kafanikiwa kuuweka hadharani kupitia kesi hii ya kutengeneza na kilaza Samia.

Na sasa ile sababu ya kutaka tuwe na katiba mpya itakayoweka uwajibikaji wa kila mtu inatakiwa sana sasa. Kuna kundi kubwa ambalo haliwezi kushitakiwa kisheria, hili ndio linalopora raslimali za nchi, linapora chaguzi za nchi, linateka, linabaka na kufira wote wanaoamsha waliolala. Lisu shikilia hapo hapo hii kauli ya upotoshaji kuwa hakuna aliye juu ya sheria ionekane kwa ukubwa wake.
 
Anajiita mandela,awe tayari kula kifungo mwehu huyo
Kwa mahakama hizi za simu moja wala hakuna la kushangaza hapo. Hiyo mahakama ni kama ile tume isiyo huru ya uchaguzi aliyoiagiza imtangaze kwa kura 31m za uongo.
 
Watakacho ulizwa ni kile kinacho husiana na kesi hii tuu sio mambo ya utekwaji. mauaji ya extra judicial.mauaji ya mzee kibao au mazingira ya kifo cha Magufuli.
 
Kwani wamejua Lissu anataka taarifa au ushahidi gani hadi waanze kuogopa kutoa taarifa za siri??
 
Watakaoufyata wote kwenda kutoa ushahidi tutawaweka kwenye kundi la makunguru yanayoishi kwa msaada wa vyombo vya dola huku yakiwa hayana uwezo wa kusimama mbele ya huyo mtuhumiwa.
 
Mkaoa aliwahi kusimama mahakamani lakini sasa hii takataka inashindwaje?
 
Lissu hatompigia goti shetani
Siamini kama tunataka kufikia huko wala sioni haja ya kuitana majina au sifa za shetani.Kwa mara zote hizi ndiyo siasa zinazotuponza sana CHADEMA ata kama tunatumia fake id.. nina uhakika tunaweza tukanya tofauti na hivyo
 
Tanzania mtu anakuwa Jaji kwa utii wa mamlaka na kujipendekeza. Mahakama haiwezi kuwa huru. 😊
 
Nitafurahi sana hata atakpokuwa anakula kitanzi afanye utundu ili kitanzi kifanye kazi yake barabara!!!
 
Mnajitoa ubongo na kubaki empty skulls:
1. Mkapa aliitwa mahakamani kama Rais kumtetea Profesa Mahalu kuhusiana na kesi ya kuuza nyumba Italy
2 Shahidi x au Mahiga aliitwa mahakamani kutoa ushahidi wa kesi ya uhaini 1980s.

Empty heads & empty seats, Tanzania imeporomoka sana
 
Waitwe tu wakatoe ushaidi wa kutishwa si wamesema wametishiwa kupinduliwa
 
Mwanzo alijiita mwalimu wa sheria sasa anataka huruma sasa mbona anakana kuwa yeye akurusha
Ile clip ya kukinukisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…