Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina litakusaidia nini?yaani mwendazake masalia mnapata tabu sana!!hakuna anayekataa kuwa wizi haukuwepo/haupo tofautisha kati ya mtu kufutiwa kesi na mtu kupatikana hana hatia!!kwa dhuruma iliyofanywa na jiwe na watu wake ndio maana unaona leo watu wanafutiwa kesi na sio kuwa hawapatikani na hatia, lingekuwa ni suala la ushahidi kuharibiwa mahakama ndio ingekuwa inawaachia huru na sio DPP!!Ungetutajia jina kabisa lakini lazima tuwe wazi ..wafanyabiashara wamepiga sana na kuiba hela ..nchi hii ilikuwa kama gombania goli..wengi walitumia viongozi wa kisiasa wa tawala na hata upinzani kutekeleza wizi.inawezekana kabisa ushahidi ukawa haupo au kupotezwa lakini ndani ya mioyo yao wanajua waliiba kiasi gani na madhara waliyopata wengine kama ukosefu wa maji au huduma za hospitali nk vilisababisha vifo vya watu...watoke kimya kimya maana mambo yao yalikuwa wazi huku mtaani kipindi kuiba au kufisadi ni sifa.
Ungetutajia jina kabisa lakini lazima tuwe wazi ..wafanyabiashara wamepiga sana na kuiba hela ..nchi hii ilikuwa kama gombania goli..wengi walitumia viongozi wa kisiasa wa tawala na hata upinzani kutekeleza wizi.inawezekana kabisa ushahidi ukawa haupo au kupotezwa lakini ndani ya mioyo yao wanajua waliiba kiasi gani na madhara waliyopata wengine kama ukosefu wa maji au huduma za hospitali nk vilisababisha vifo vya watu...watoke kimya kimya maana mambo yao yalikuwa wazi huku mtaani kipindi kuiba au kufisadi ni sifa.
Namuona MatagaUngetutajia jina kabisa lakini lazima tuwe wazi ..wafanyabiashara wamepiga sana na kuiba hela ..nchi hii ilikuwa kama gombania goli..wengi walitumia viongozi wa kisiasa wa tawala na hata upinzani kutekeleza wizi.inawezekana kabisa ushahidi ukawa haupo au kupotezwa lakini ndani ya mioyo yao wanajua waliiba kiasi gani na madhara waliyopata wengine kama ukosefu wa maji au huduma za hospitali nk vilisababisha vifo vya watu...watoke kimya kimya maana mambo yao yalikuwa wazi huku mtaani kipindi kuiba au kufisadi ni sifa.
Wanaharakati wa chadema badala washughulikie kuendeleza chama wao wako kutunga uongo dhidi ya Magufuli.Na mimi nitunge ya kwangu??!!?..maana nami nina kipaji cha utunzi wa stori na hadithi za kusisimua
Ahsante Nlishapoa mkuu, jamaa alinyoosha watu mjini aisee !Pole sana mkuu.
Kenya wanawaita wakora. Wale jamaa walikuwa wakora tu.
Wakora - wazi, vibaka, majambazi, wezi, mabazazi, Mabedui, majahili, mafedhuli, nk. Yaani mkuluro wote huo.
Huna utu, huruma wala hujali haki za wengine, wewe ni mtu wa namna gani?
Jamaa alikua katili kupitilizaNdugu yangu mmoja alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akituhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake. Lakini yeye anadai ni kesi ya kisiasa. Mwaka 2015 aliombwa kusupport kampeni za CCM akakataa lakini alifadhili kampeni za UKAWA. Anaamini hiki ndicho kilichomponza.
Mwaka 2018 alikamatwa na baadhi ya biashara zake kufungwa, na nyingine zikashindwa kujiendesha kutokana na makadirio makubwa ya kodi.
Baada ya kukaa gerezani miaka miwili akaona bora akiri ili atoke (the lesser evil). Wakati wa majadiliano na DPP akatakiwa kulipa zaidi ya 200M. Akakubali kufilisi biashara zake chache zilizobakia ili "kununua" uhuru wake.
Mwaka jana tulimtembelea gerezani mimi na Dr.Cyrilo. Tukamuuliza kwanini umeamua kukiri? Huoni itakuwekea doa? Kuna nchi utazuiwa kwenda kwa sababu ya "criminal record" ya uhujumu uchumi. Kuna fursa za biashara utashindwa kupata. Kwanini usingepambana ushinde badala ya kukiri.
Huku akilengwalengwa na machozi akajibu, nachotaka kwa sasa ni kuwa huru tu. Nikishatoka hiyo "criminal record" anaweza kuja Rais mwingine akaifuta, huwezi jua. Tukaagana, akarudi zake nyuma ya nondo.
Licha ya kukiri na kuwa tayari kulipa (plea burgaining) lakini bado hakuachiwa. Aliambiwa jalada bado lipo kwa DPP.
Wiki iliyopita amefutiwa mashtaka yote na kuachiwa huru, bila kulipa chochote. Siku anaachiwa wala hakujua kama angeachiwa. Ilitumwa "remove order" gerezani, akaenda mahakani bila kubeba chochote maana haikua siku ya kesi. Hata wakili wake hakuwepo.
Miguuni alivaa kandambili. Alipofika mahakamani akaambiwa, Jamhuri imekufutia mashtka yote na haina nia ya kuendelea na kesi. Akadhani ni mtego ili wamkamate tena. Akajaribu kutoka nje ya mahakama, lakini hakuna mtu aliyehangaika nae.
Akaita taxi, ikampeleka nyumbani. Mkewe akapata suprise ambayo hakuitegemea. Akaanguka, alipoamka akaanza kulia. Watoto walipomuona baba yao nao wakalia. Majirani wakaja na kumkumbatia, wakilia. Nyumba ikatawala machozi.
Hii nchi imepitia kipindi kigumu sana. Kuna jinsi Mungu anamtumia mama Samia kuponya majeraha na kuokoa mioyo iliyopondeka. Biblia inasema Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wowote (Mithali 14:34).!
Malisa GJ
You have truth with you on many cases but not all.Ndugu yangu mmoja alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akituhumiwa kukwepa kodi kwenye biashara zake. Lakini yeye anadai ni kesi ya kisiasa. Mwaka 2015 aliombwa kusupport kampeni za CCM akakataa lakini alifadhili kampeni za UKAWA. Anaamini hiki ndicho kilichomponza.