Mahakama hazikuwa zikitenda haki kuhusu kesi za Uhujumu Uchumi

Tumekombolewa toka mikononi mwa shetani
 
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.

Wakina mbowe hawatamsahau huyu mama kwa wema wake alioufanya. Mama hataki dhuluma wala kubambikia watu kesi.
 
Dah nimemkumbuka ndugu yetu kabendera mwandishi halafu anahujumu uchumi wewe kichaa salam zikufikie huko uliko tumeshindwa kulipiza hapa duniani ila huko mbinguni lazima tulipize
 
Jina litakusaidia nini?yaani mwendazake masalia mnapata tabu sana!!hakuna anayekataa kuwa wizi haukuwepo/haupo tofautisha kati ya mtu kufutiwa kesi na mtu kupatikana hana hatia!!kwa dhuruma iliyofanywa na jiwe na watu wake ndio maana unaona leo watu wanafutiwa kesi na sio kuwa hawapatikani na hatia, lingekuwa ni suala la ushahidi kuharibiwa mahakama ndio ingekuwa inawaachia huru na sio DPP!!
Kwanza ni aibu haiwezekani kila leo unasikia dpp anafuta kesi, za watuhumiwa, ambacho huwa ni kitu nadra sana kwenye mfumo wa sheria unaofuata haki!!Dunia nzima wanashangaa hivi ilikuwaje hali hii ikatokea?Yaani DPP kufuta kesi ambazo ni maisha ya watu imekuwa rahisi kama TFF, kubadirisha ratiba za ligi kuu!!
Yaani bora hata mahakama ndio ingekuwa inawaachia huru kwa kukosa ushahidi wa kutosha na sio DPP!!Sasa kama yalikuwa waziwazi mbona mnashindwa kuwafunga?!!unadhania Mwendazake angekuwa hai leo wakina mbowe hiyo rufaa yao inngekuwa kama ilivyotoka?!!yaani milioni 350!!zirudishwe?!!hahaaa.MUNGU FUNDI
 
Duuh Malisa kama jambo halijamtokea yeye basi yeye ndio yupo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kulitolea ufafanuzi.
 

Huyo na Chato airport nani mhujumu uchumi na mwizi wa Taifa?
 
Namuona Mataga
 
Na mimi nitunge ya kwangu??!!?..maana nami nina kipaji cha utunzi wa stori na hadithi za kusisimua
Wanaharakati wa chadema badala washughulikie kuendeleza chama wao wako kutunga uongo dhidi ya Magufuli.

Mtu una akili timamu unaweza kumuamini Malisa kweli? Juzi hapa alitunga uzushi wa kiwanda cha pombe Moshi dhidi ya Sabaya, juzi hapa wametunga uzushi wa madai ya Lisu.

Hawana hoja.
 
Ahsante Nlishapoa mkuu, jamaa alinyoosha watu mjini aisee !
 
Hamnazo alimfungia Mzee wangu Acc zake
 
Jamaa alikua katili kupitiliza
 
You have truth with you on many cases but not all.
 
Rais Samia anajipatia maadui wapya kadri haki inavyopatikana kwenye sekta ya mahakama. Lakini thawabu ya maamuzi haya magumu ni kubwa sana kwa Mungu.

Unashangaa Mzee Mwinyi mpaka anafikisha miaka 96 anaweza kusoma bila miwani, ndio thawabu zenyewe hizo. Furaha inayopatikana kwa wengi kuumizwa na maamuzi fulani ya kiongozi huambatana na mkosi mkubwa wenye kuwapa kilio wengi.
 
Yule bwana alikuwa muhuni sana.Aliumiza watu wengi mnoo.Kwa upendo mkubwa nakuomba niseme..."go to hell"!😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…