Mahakama iliamua nini kuhusu mashahidi wa utetezi aliotaka Lissu wafike mahakama ambao ni IGP, CDF, DGIS, Majaliwa na Mpango?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu?

Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa.

Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama iliamuajie au bado mahakama haijatoa iuamuzi?

Tukumbuke mahakama imetaka hii kesi ikamilike ndani ya wiki mbilii. zijazo.
 
Tukumbuke mahakama imetakanhii kesi ikamilike ndani ya wiki mbilii. zijazo?
Bado hawajasoma maamuzi
 
Mahakama bado inatafuta namna ya kuwakomboa(kupindisha sheria ziwe juu ya watu?)wasifike kizimbani wakisaidiwa na mawakili wa upande wa jamuhuri.
Kama MTU anajiona yeye siyo shahidi wako , ni lazima akubali kuwa upande wako kisa umemtaja? Anaweza kukataa kwamba hakujui na si lazima akubali kuwa shahidi wako?
Sheria ya mashahidi inalazimisha watu wakubali kuwa mashahidi wako?
 
Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu?

Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa.

Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama iliamuajie au bado mahakama haijatoa iuamuzi?

Tukumbuke mahakama imetakanhii kesi ikamilike ndani ya wiki mbilii. zijazo?
Imeanza kutengeneza mazingira ya kugoma kuwaita pale iliposema wingi wa mashahidi siyo ubora wa utetezi
 
Kama MTU anajiona yeye siyo shahidi wako , ni lazima akubali kuwa upande wako kisa umemtaja? Anaweza kukataa kwamba hakujui na si lazima akubali kuwa shahidi wako?
Sheria ya mashahidi inalazimisha watu wakubali kuwa mashahidi wako?
ICC ndio dawa yenu.
 
Naamini leo jioni Heche akimaliza kutoa utetezi wake majaji watasoma hiyo rulling.
 
Kama MTU anajiona yeye siyo shahidi wako , ni lazima akubali kuwa upande wako kisa umemtaja? Anaweza kukataa kwamba hakujui na si lazima akubali kuwa shahidi wako?
Sheria ya mashahidi inalazimisha watu wakubali kuwa mashahidi wako?
Kwani kuwa shahidi ni hadi utake? Ikiwa unaweza kutumika kutoa ushahidi unapaswa kufika kutoa.
 
Kama MTU anajiona yeye siyo shahidi wako , ni lazima akubali kuwa upande wako kisa umemtaja? Anaweza kukataa kwamba hakujui na si lazima akubali kuwa shahidi wako?
Sheria ya mashahidi inalazimisha watu wakubali kuwa mashahidi wako?
Unaujua msingi wa kesi? Jirani anaposema umeiba mke wa jirani mwenzio. Wewe utapotaka aliobiwa mke aje atoe ushahidi kama kweli umeebia mkewe , asipokuja kutoa ushahidi ya kuibiwa mkewe utachukuliaje? Au utafata maneno ya jirani tu ambae hata uchungu wa mke aliebiwa haujui?
 
Imeanza kutengeneza mazingira ya kugoma kuwaita pale iliposema wingi wa mashahidi siyo ubora wa utetezi
Na kesi iwe imeisha ndani ya siku 14, kitu ambacho hakiwezekani kwa mtiririko wa maswali ulivyokuwa kwa mashahidi wengine. Mahakama inajua kabisa imeagizwa kutoa uamuzi wa maagizo, sasa inacheza na muda ione itoke vipi. Lakini hao majaji wamechoka na hiyo kesi na maagizo ya kila mara, maana wanajua fika ni ya kubumba.
 
Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu?

Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa.

Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama iliamuajie au bado mahakama haijatoa iuamuzi?

Tukumbuke mahakama imetaka hii kesi ikamilike ndani ya wiki mbilii. zijazo.
Baada ya Heche kumaliza ushahidi wake ndo watasema kama mashahidi waitwe au wasiitwe.
Lkn inavyoonekana itapigwa danadana au wakimaliza examination.
Mahakama hazipo huru wakuu.
 
NA wewe uliamini kabisa mahakama za Tanzania zinaweza kuwawajibisha hao watu?mahakama za hapa hazina meno kwa viongozi wakubwa kama rais, makamu,waziri mkuu,pamoja na wakuu wa vyombo.
 
Mashahidi ambao hatujawagusa ni DCI, CDF na IGP wao tumeona ushahidi wao ni relevant, hivyo summons zitolewe ili waje kutoa ushahidi upande wa utetezi...."
 
Back
Top Bottom