Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

Hakimu hawezi kutoa kifungo zaidi ya kilichoandikwa kwenye sheria. Ukitaka peleka muswada bungeni ili kukidhi kifungo unachotaka kwa mabilioni yanapoibiwa.
Yaani ghafla umenifanya niwaze kugombea nafasi ya uwakilishi wa wananchi huko bungeni ifikapo 2020. Hatuwezi kuindeleza nchi kiuchumi, kidiplomasia, kisiasa na kiutamaduni, wakati kuna wenzetu wanatuchezea 'shere'! Haiwezekani!
 
Yaani ghafla umenifanya niwaze kugombea uwakilishi wa wananchi huko bungeni ifikapo 2020.

Huhitaji kugombea ubunge. Andika muswada wako kikamilifu, wapelekee wanasheria waurekebishe, kisha changu mbunge mmoja aupeleke kama muswada binafsi bungeni.

BUnge likiukataa basi maana yake wabunge na serikali wasilalamike mtu anaiba mabilioni kisha analipishwa milioni 70 ambayo hata mimi ninaweza kuilipa.
 
Asante sana kwa ushauri.
 
~~~>>>1Bilioni akilipa 70Milioni zinabaki 930Milioni ....... Akihonga milioni 430 anabaki na Milioni 500 ...
 
bilioni 1 kutoa milion 70 = 930m faida....

yaani wanapiga faida ya milion 930... raha sana serikalini
 
Kuna yule aliyegonga mtu na kuua akalipa laki 7 na sasa yupo mjengo na ana matuhuma lukuki lakini kila awamu yupo anatesa tu.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Wenda wazimu hawa yaani 1 bilioni analipa faini ya milioni 70?

Kuna maelezo mengine yakuweza kunishawishi kwamba kilichofanyika ni sahihi kama hakuna maelezo mengine basi kua hakimu makama ya serikali ni bora kesi ziamuliwe na wapiga debe wa ubungo

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Huyu Jamaa sio kaiba billion moja. Walinunua magari second hand lakini ni mazuri na paka Leo ndio yanayotumika. Wao walitakiwa kununua mapya ila kwakuwa kampuni ilikuwa haina pesa ikabidi wanunue hayo. Hiyo hela wanayolipishwa ni nyingi sana kutokana na uhalisia wa magari yenyewe.
 
Miaka sita kwa Bilioni 6.

Watu hawawezi kuacha wizi.
 
Wenda wazimu hawa yaani 1 bilioni analipa faini ya milioni 70?

Kuna maelezo mengine yakuweza kunishawishi kwamba kilichofanyika ni sahihi kama hakuna maelezo mengine basi kua hakimu makama ya serikali ni bora kesi ziamuliwe na wapiga debe wa ubungo

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Tena ni 35 milion kwa kila mmoja au kwenda jela miezi sita
 
Tanzania ni shida sana. Watu hawasomi, wanachukua pointi moja wanayotaka halafu wanabishania hiyo. Hiyo sentesi ya kuwa pia ameamuriwa kulipa hasara.... hamkuiona?
 
Back
Top Bottom