SubiriJibu,Hakimu hawezi kutoa kifungo zaidi ya kilichoandikwa kwenye sheria. Ukitaka peleka muswada bungeni ili kukidhi kifungo unachotaka kwa mabilioni yanapoibiwa.
Umeongea jambo kubwa na la kweli. Wakubwa watunga sheria kama kina Andrew Chenge mbunge hawawezi kutunga sheria / adhabu kali, sana sana wakubwa watajitungia sheria za faini au kinga ya kushtakiwa n.k