Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

ndio maana kwenye kupiga dili piga hela za kutosha ili usifungwe kifungo kirefu
 
Hakimu hawezi kutoa kifungo zaidi ya kilichoandikwa kwenye sheria. Ukitaka peleka muswada bungeni ili kukidhi kifungo unachotaka kwa mabilioni yanapoibiwa.
Ndo chaka mnalo jifichaga huko...sheria za kijinga mnajitungia hakimu lazima awe na uwezo wa ku think outside de box!....siyo kufanya ujinga then useme eti sheria....alisomea ujinga gani huo??
 
Dahh! Ingekuwa kule China sahizi wangekuwa wanasubiri kunyongwa
 
Ulaya na china ucheze na pesa za wananchi mbona kitambo tu ushapewa chai yao.
Huku ukitaka hata kudhaminia timu ya mpira ni wewe tu Hakuna atakaekugusa
 
Sheria za nchi lazima ziendane na wkt tulionao....siyo mnaleta sheria za zama za kikoloni hapa tanzania ya leo.. Tatizo nyie waoga...sheria hizo zinawalinda nyie! Maksudi tu..sasa mnataka atakayelianzisha hilo la mabadriko mlivo na visa... mnaanza nae kumuhukum kwa kumtafutia kosa linalo endana na sheria hiyo.....Tanzania ya leo ili twende sawa wote ni lazima tuanzishe vita kali tu itakayo dumu miaka kumi..tuue sana bila huruma.....tubomoe kila kitu..... then ndo tukae chini sasa tuongee......ili tondoe hili tabaka la uozo....ujinga! jinga!! wa maksudi ya kijinga....eti wanafanya ujinga then wanajichekesha.....
 
Back
Top Bottom