Mahakama inaangaliwa na chombo gani katika dhana nzima ya 'Balance and Check? Naona malalamiko juu ya mahakama yamekuwa mengi

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama.

Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa mahakamani tunaona uwepo wa dhana ya 'Balance and Check' lakini hatuoni popote dhana hii ikitumika kwa mahakama na zaidi dhana inayofanya kazi sana ni maamuzi ya mahakama ndio ya mwisho.

Kwanini Mahakama iwe na maamuzi ya mwisho ikiwa dhana ya Balance and Check inaamimini mihimili yote ni sawa?

Hoja yangu juu ya uwepo wa Chombo maalumu cha kusimamia Mahakama inakuja baada ya malalamiko juu ya chombo hiki kuwa mengi na wanaolalamika ni viongozi. Kwa mfano, Makonda alipokuwa katibu wa NEC wa CCM alilalamika, Jerry Sliaa waziri wa Ardhi na yeye anaonekana kusikitishwa na utendaji wa mahakama kwenye masuala ya Ardhi

Je, hatuoni umuhimu wa kuunda chombo cha kuisimamia Mahakama ili dhana ya Balance and Check itekelezwe kikamilifu kwa mihimili yote ya Dola?
 
Executive wanaingia sana hasa kwenye ethics committee za Judges na magistrates...
 
Balance and check

ndo mdudu gani nawe?
 
Achana na maneno ya kiingereza yatakutia aibu. Balance and check ndio nini? Ni check and balances.
 
Kwa maoni yangu, hii inaonyesha mfumo wa uteuzi wa majaji "is no longer effective" kadiri dunia inavyokwenda. Kama uteuzi ulikuwa unafaa zamani, kwa sasa ufanisi wake ni mdogo na inabidi tubadilishe. Kinachotakiwa ni kuwa na mfumo tofauti/mpya usio wa uteuzi tena. Candidates washindanishwe na wanakuwa successful ndio wachaguliwe kuwa majaji (baada ya kukidhi vingezo kadhaa vikiwemo uadilifu, mtu kujihedhimu, nidhamu, good judgement etc). Utaratibu unaoweza kufanyika ni wa 'interview' na candidates watume maombi (kwa mfano Tume ya Majaji). Huu mfumo mpya wa kuwapata majiji utaweza kutusaidia sana kupunguza malalamiko na kuongeza ufanisi na 'effectiveness' katika utoaji wa haki 'without favour or fear'.
 
Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama.

Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa mahakamani tunaona uwepo wa dhana ya 'Balance and Check' lakini hatuoni popote dhana hii ikitumika kwa mahakama na zaidi dhana inayofanya kazi sana ni maamuzi ya mahakama ndio ya mwisho.

Kwanini Mahakama iwe na maamuzi ya mwisho ikiwa dhana ya Balance and Check inaamimini mihimili yote ni sawa?

Hoja yangu juu ya uwepo wa Chombo maalumu cha kusimamia Mahakama inakuja baada ya malalamiko juu ya chombo hiki kuwa mengi na wanaolalamika ni viongozi. Kwa mfano, Makonda alipokuwa katibu wa NEC wa CCM alilalamika, Jerry Sliaa waziri wa Ardhi na yeye anaonekana kusikitishwa na utendaji wa mahakama kwenye masuala ya Ardhi

Je, hatuoni umuhimu wa kuunda chombo cha kuisimamia Mahakama ili dhana ya Balance and Check itekelezwe kikamilifu kwa mihimili yote ya Dola?
Kuna siku nilikuwa naongea na wakili mmoja,
Kuhusu kesi fulani iliyo kuwa ina maslahi na Kigogo wa Ccm.
Baada ya utetezi hakimu alimuita wakili wa walalamikaji ofisini na kumuambia Mh. Hii kesi iko wazi walalamikaji wana haki, lakini uta nisamehe nina maelekezo toka juu, hivyo baada ya hukumu yangu kateni rufaa mta ipata haki mbele.
Hivyo kusema hukumu huandikwa na walioko juu sishangai.
 
Achana na maneno ya kiingereza yatakutia aibu. Balance and check ndio ni. Ni check and balances.
Umekuwa mwepesi wa kutafuta kosa kamanda ila ujumbe si umeupata
 
Tanzania Kila kitu hakiko sawa.bunge na mahakama ni vibaraka wa mhimili wa urais.wanatimiza wajibu Kwa kuangalia rais anataka Nini na siyo kufuata Sheria inavyotaka.ifike mahali mfumo wa kuwapata viongozi wa mihimili ubadilike yaani wasiteuliwe na rais ili kuwafanya kuwa huru
 
Back
Top Bottom