Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.
Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?
Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.
Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?
Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Chadema imetimiza wajibu wake. Aibu ni kwa serikali kupitia bunge.Hapo linaloaibika ni bunge au Chadema?
RIP Magufuli
Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.
Hao ni watendaji wa serikali ya CCM. Kweli tunao aibika ni wananchi kukubali kuongozwa na chama kisicho fata misingi ya sheria.Aibu ipo kwa bunge na nchi nzima, tunaoneka tunapitisha watu wa ajabu ajabu kushika nafasi muhimu sana katika nchi
Taifa hili nimethibitisha ustaarabu hautakiwi kwani unalichelewesha taifa hili.Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.
Kuna kiburi ( Pride ) juu ya hili sakata. Kwamba mtafanya nini, sisi ndio sisi.. ila kama hiyo isingekuwepo issue imeisha zamaani sana
Siasa imepitiliza ukomoKwanini serikali inayotaka amani inachochea vurugu kwa kuendekeza mambo ya ujanja ujanja kwenye mambo serious ya nchi?
Huwezi kuwa mstaarabu mbele ya wahuni!! Samia ni lazima ajue kuwa hilo sio Bunge lake akiwemo huyo Spika ; Hawa ni masalia ya Magufuli ambao wana ajenda within ccm kumkwamisha Samia!Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.
akina ndugai walijitoa ufahamu leo tulia naye hivyohivyoKama nchi tuna aibika tunaonekana watu wa hovyo hovyo.. haya mambo wanaofanya resereach ndio huyatumia na kufanya nchi ionekana ina matahira wengi kuliko wenye akili
Hapo hakuna mgogoro bwasheeHizi ni kesi mbili tofauti mkuu.
Zielewe kwanza source ya mgogoro ni nini
wanapenda kuondoka vibaya vibayaaakina ndugai walijitoa ufahamu leo tulia naye hivyohivyo
Ukitaka afanyeje, maana kule Ikulu ndiyo muhimili wa nchi
Huna jipyaHali ni mbaya hapo Ufipa st!
Ni upuuzi tuu una endelea. Lakini ukiangalia wanao toa haya maamuzi ya hovyo ni wake wale nyumbu wa mwenda kuzimu. Tulia aliokotwa huko jalalani na mwenda kuzimuNakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.
Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?
Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!