Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.
Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?
Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Sure, hajuna aliye juu ya sheria, liwe bunge au rais!