Mahakama inaweza kuliamuru Bunge?

Mahakama inaweza kuliamuru Bunge?

Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.

Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?

Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!

Sure, hajuna aliye juu ya sheria, liwe bunge au rais!
 
Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.

Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?

Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!

Rehea kesi ya Zitto Kabwe alipofukuzwa na Chadema ilikuwaje?
 
Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.

Ukitaka afanyeje, maana kule Ikulu ndiyo muhimili wa nchi
 
Aibu ipo kwa bunge na nchi nzima, tunaoneka tunapitisha watu wa ajabu ajabu kushika nafasi muhimu sana katika nchi
Hao ni watendaji wa serikali ya CCM. Kweli tunao aibika ni wananchi kukubali kuongozwa na chama kisicho fata misingi ya sheria.
 
Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.
Taifa hili nimethibitisha ustaarabu hautakiwi kwani unalichelewesha taifa hili.
 
Kuna kiburi ( Pride ) juu ya hili sakata. Kwamba mtafanya nini, sisi ndio sisi.. ila kama hiyo isingekuwepo issue imeisha zamaani sana

Kwanini serikali inayotaka amani inachochea vurugu kwa kuendekeza mambo ya ujanja ujanja kwenye mambo serious ya nchi?
 
Pia Mahakama imeshaliagiza Bunge kuwa hawa Kina Mdee waendelee na ubunge wao hadi shauri lao litakapotolewa maamuzi.
Hapa ni wazi Mahakama inaingilia taratibu za mhimili wa Bunge.
 
Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.
Huwezi kuwa mstaarabu mbele ya wahuni!! Samia ni lazima ajue kuwa hilo sio Bunge lake akiwemo huyo Spika ; Hawa ni masalia ya Magufuli ambao wana ajenda within ccm kumkwamisha Samia!
 
Hizi ni kesi mbili tofauti mkuu.

Zielewe kwanza source ya mgogoro ni nini
 
Kama nchi tuna aibika tunaonekana watu wa hovyo hovyo.. haya mambo wanaofanya resereach ndio huyatumia na kufanya nchi ionekana ina matahira wengi kuliko wenye akili
akina ndugai walijitoa ufahamu leo tulia naye hivyohivyo
 
Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.

Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?

Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Ni upuuzi tuu una endelea. Lakini ukiangalia wanao toa haya maamuzi ya hovyo ni wake wale nyumbu wa mwenda kuzimu. Tulia aliokotwa huko jalalani na mwenda kuzimu
 
Back
Top Bottom