Mahakama itende haki, haiwezekani ndugu zetu tangu 2016 wako rumande, lakini kesi za kisiasa zinamalizwa haraka haraka, first in first out!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu.

Mahakama mnakwama wapi? First in first out.

Haki ni kwa wote.

Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi miwili au mitatu mbele kama kesi zetu sisi wa Tandale.
 
Mahakama ikitoa zuio Leo baada ya kuzingatia overriding objective iitupe kesi hiyo mwezi wa nane
akili ndogo sana. upo tayar kama nchi tuonekane majuha kama wana ccm ili nafsi yako iridhike
 
akili ndogo sana. upo tayar kama nchi tuonekane majuha kama wana ccm ili nafsi yako iridhike
Hili ni suala la haki, aliyemtangulia apewe, mashauri ya zamani (backlog) ya kesi za mauaji ni kubwa, hizi kesi za Chama Cha kuweka na kukopa (saccoss) zisionekane za maana sana kuliko za wengine.

Mahakama iweke nidhamu ya shughuli zake
 
saccoss inakutengenezea Ma DC.
ma RC
wabubge tena unakaataa nao
mawazir
makatibu wakuu kina Mkumbo
WE BADO UNAJITIA MADOLE, NA KUKATA MAUNO KAMA HADIJA KOPA AKIWA CHIMWAGA kuchagua viongozi vichaa kama yule aliyepigwa mweleka na korona
 
Kunywa maji mwanangu
 
akina Kibatala mwaka wao huu

wasiezeka magorofa hawazeki hadi wao wezekewe zege kaburini
 
Kunywa maji mwanangu
sacoss inakubwaga mahakamani? mtu anamkana mwanawe wa kumzaa wewe unamfundisha namna ya kumkataa ?
afu kesho unajiita mheshimiwa wa kunengua labda kama hadija kopa akiwa CHIMWAGA kuchagua viongozi vichaa vichaa
 
Unamkana kwa dunia ya DNA? Hilo Baraza la Kahawa tutalifanyia scanning hapo mahakamani na tutawaanika kende zenu
 
Mahakama, Takukuru, tra, polisi, na taasisi nyingi zipo kimkakati, zinashughulika na wewe kadri unavyokua tishio. Ni kama zipo Kwa kushinikiza ajenda au mambo yaende kama wanavyotaka watu flani.
 
Waweke hadharani wana harakati tupaze sauti zetu [emoji2321]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…