Mahakama kutoa hatma ya maombi ya kina Halima Mdee Julai 6, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022.

Wabunge hao wameomba kibali cha Mahakama ili kuwasilisha mapitio ya kimahakama wakipinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.

Video: Azam TV
 
Hii sio rocket science, Mdee &others wanapigania njaa ya matumbo yao(ubunge wa kimichongo),vyama vya siasa ni vya hiari!why upigane kulazimisha uanachama wakati hutakiwi?,mifano ipo mingi tu kuanzia s.simba, membe, hawa walifukuzwa uanachama na wakaondoka bila hizi kelele, tuelewe ni kodi zetu ndizo zinatumika kwenye kesi hii ya kimichongo, fedha iliyotumika so far kwenye case hii zingiweza to train more than 10 mahakimu wa mahakama za mwanzo!
 
Siasa ni hela mzee baba
 
Chama cha siasa ni taasisi ya serikali, inafata mifumo ambayo serikali imeweka

Wanachama sio kama kuku unaowafuga nyumbani kwako kwamba unaamua Tu kuwachinja au kuwauza

Utaratibu ambao ulitumika kuwafukuza uanachama Kwa mara ya kwanza ndio walifeli, na hii kesi wakina mdee wanashinda Kwa ujinga wa kukurupuka Kwa chadema kufanya maamuzi

Mfano juzi Tu, mahakama imeakua kitu kingine na myika katoa report nyingine
 
Kama kwa Naila Jidawi, Hamad Rashid hawa wataendeleya na ubunge hadi 2025
 
Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022.

Wabunge hao wameomba kibali cha Mahakama ili kuwasilisha mapitio ya kimahakama wakipinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.

Video: Azam TV
Haya. Ngoja nijiweke sawa kuona na kusikiliza tamthilia hii.
 
Chama cha siasa ni taasisi ya serikali, inafata mifumo ambayo serikali imeweka

Wanachama sio kama kuku unaowafuga nyumbani kwako kwamba unaamua Tu kuwachinja au kuwauza

Utaratibu ambao ulitumika kuwafukuza uanachama Kwa mara ya kwanza ndio walifeli, na hii kesi wakina mdee wanashinda Kwa ujinga wa kukurupuka Kwa chadema kufanya maamuzi

Mfano juzi Tu, mahakama imeakua kitu kingine na myika katoa report nyingine
Mkuu tulia na andika ili ueleweke, hii ni mada iliyoletwa ili tujadili, na maoni tofauti na ya kwako ndio mjadala wenyewe, nimejitahidi kukusoma ili nikuelewe ili nisiulize maswali nimeshindwa, political party SIO taasisi ya serikali, na elewa serikali inakuja na kuondoka kutegemeana chama gani kimeshinda uchaguzi, ni katiba tuu ndio ipo, tumetawaliwa mno na ccm na inaonekana tunashindwa kutenganisha chama na serikali, vyama vyote vina katiba yake kuhusiana na wanayokubaliana ndio maana ccm ilimfukuza uanachama Mr.Membe na Mrs .Sofia Simba, ccm walitumia katiba ya chama chao SIO katiba ya nchi, Mdee&others ni walilia njaaa za matumbo, they're fighting to keep their MPs seats na SIO uanachama wa CDM,ndio maana tunahitaji kuwa na independent candidates kwenye katiba yetu ili kuepusha my kodi kutumiwa vibaya kama kwenye case hii.
 
Back
Top Bottom