JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Wabunge hao wameomba kibali cha Mahakama ili kuwasilisha mapitio ya kimahakama wakipinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.
Video: Azam TV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Nani jati yao alishawahi kukuoa akakuacha?Wanaume wa Chadema wana wivu sana
Siasa ni hela mzee babaHii sio rocket science, Mdee &others wanapigania njaa ya matumbo yao(ubunge wa kimichongo),vyama vya siasa ni vya hiari!why upigane kulazimisha uanachama wakati hutakiwi?,mifano ipo mingi tu kuanzia s.simba, membe, hawa walifukuzwa uanachama na wakaondoka bila hizi kelele, tuelewe ni kodi zetu ndizo zinatumika kwenye kesi hii ya kimichongo, fedha iliyotumika so far kwenye case hii zingiweza to train more than 10 mahakimu wa mahakama za mwanzo!
Watakuoa bila mahariWanaume wa Chadema wana wivu wa kishamba sana
Nyie wanawake wa CCM mna ukahaba wa kishamba sanaWanaume wa Chadema wana wivu wa kishamba sana
Hasa politics zetu za uchwara, why Mauritius 🇲🇺 wamepatia, sisi tumefeli wapi?,ushelisheli ambako nchi ili risk sana wenzetu wapo mbele mno why about us?Siasa ni hela mzee baba
Mwanamke malaya utamjua tu.Wanaume wa Chadema wana wivu wa kishamba sana
Hii sio rocket science, Mdee &others wanapigania njaa ya matumbo yao(ubunge wa kimichongo),vyama vya siasa ni vya hiari!why upigane kulazimisha uanachama wakati hutakiwi?,mifano ipo mingi tu kuanzia s.simba, membe, hawa walifukuzwa uanachama na wakaondoka bila hizi kelele, tuelewe ni kodi zetu ndizo zinatumika kwenye kesi hii ya kimichongo, fedha iliyotumika so far kwenye case hii zingiweza to train more than 10 mahakimu wa mahakama za mwanzo!
Kama kwa Naila Jidawi, Hamad Rashid hawa wataendeleya na ubunge hadi 2025Chama cha siasa ni taasisi ya serikali, inafata mifumo ambayo serikali imeweka
Wanachama sio kama kuku unaowafuga nyumbani kwako kwamba unaamua Tu kuwachinja au kuwauza
Utaratibu ambao ulitumika kuwafukuza uanachama Kwa mara ya kwanza ndio walifeli, na hii kesi wakina mdee wanashinda Kwa ujinga wa kukurupuka Kwa chadema kufanya maamuzi
Mfano juzi Tu, mahakama imeakua kitu kingine na myika katoa report nyingine
Hivi mumeo anajua kuwa wewe ni kahaba na mpumbavu au limbwata ulilomlisha anakuona ni mwanamke wa kawaida?Wanaume wa Chadema wana wivu sana
Haya. Ngoja nijiweke sawa kuona na kusikiliza tamthilia hii.Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022.
Wabunge hao wameomba kibali cha Mahakama ili kuwasilisha mapitio ya kimahakama wakipinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.
Video: Azam TV
Kama wewe ulivyo na wivu kwa chadema.Wanaume wa CHADEMA wana wivu sana
Mkuu tulia na andika ili ueleweke, hii ni mada iliyoletwa ili tujadili, na maoni tofauti na ya kwako ndio mjadala wenyewe, nimejitahidi kukusoma ili nikuelewe ili nisiulize maswali nimeshindwa, political party SIO taasisi ya serikali, na elewa serikali inakuja na kuondoka kutegemeana chama gani kimeshinda uchaguzi, ni katiba tuu ndio ipo, tumetawaliwa mno na ccm na inaonekana tunashindwa kutenganisha chama na serikali, vyama vyote vina katiba yake kuhusiana na wanayokubaliana ndio maana ccm ilimfukuza uanachama Mr.Membe na Mrs .Sofia Simba, ccm walitumia katiba ya chama chao SIO katiba ya nchi, Mdee&others ni walilia njaaa za matumbo, they're fighting to keep their MPs seats na SIO uanachama wa CDM,ndio maana tunahitaji kuwa na independent candidates kwenye katiba yetu ili kuepusha my kodi kutumiwa vibaya kama kwenye case hii.Chama cha siasa ni taasisi ya serikali, inafata mifumo ambayo serikali imeweka
Wanachama sio kama kuku unaowafuga nyumbani kwako kwamba unaamua Tu kuwachinja au kuwauza
Utaratibu ambao ulitumika kuwafukuza uanachama Kwa mara ya kwanza ndio walifeli, na hii kesi wakina mdee wanashinda Kwa ujinga wa kukurupuka Kwa chadema kufanya maamuzi
Mfano juzi Tu, mahakama imeakua kitu kingine na myika katoa report nyingine
pole dada,wanakuonea wivu kwann jamani;Wanaume wa CHADEMA wana wivu sana