Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

mwanachama kama halima mdee yule ni likely atakuwa product ya ccm na aweza akatafutiwa jimbo kama gwajima hatampisha kawe. Kuna kuna bulaya na matiko zile nazo ni asset za ccm typically hazitakaa bure bila kufanya kazi ya za siasa. Wakikosa ubunge watalambishwa hata ukuu wa watalambishwa
Hakuna anayejali hilo, waendelee tu maana tayari wameshaonyesha hawana uwezo wa kuendesha maisha nje ya siasa. Hata wakibaki cdm wataishia kuwa masnitch.
 
Rest assured mheshimiwa jaji atakuwa mgonjwa hiyo siku, itahirishwa mpaka february mwaka wa kimahakama.
Hawa ni wabunge wa CCM na ni wahujumu uchumi kwakuwa wanaigiza kuwa CHADEMA.
Nijuacho mimi hawa wanakula mamilioni ya fedha zinazolipwa na walemavu kama kodi, zinazolipwa na vipofu, albino na maskini huku wao wakisafiri na fist class kwenda kuuza nchi huko DP.

Watasomesha watoto FEZA na Hopc, watasomesha IST na ulaya lakini nakuhakikishieni nlaana hii itawafuta wao na vizazi vyao.
Mungu hawezi achia hili jambo eti siasa, watalipa tu.

Mungu unayemlilia na wao wanamlilia huyo huyo ili awaepushe na laana zako,imani katika dini zimebaki kwa wajinga na masikini,wajanja hutumia dini kujinufaisha.
 
Inawezekana kabisa
 
Sawa wataungana na Dk Slaa,Advocate Mwabukusi na mpambanaji Mdude na Sauti ya Watanzania itaendelea kupaazwa.
 
Mungu unayemlilia na wao wanamlilia huyo huyo ili awaepushe na laana zako,imani katika dini zimebaki kwa wajinga na masikini,wajanja hutumia dini kujinufaisha.

Acha kuhusisha Mungu kwenye utapeli. Tangu lini tapeli akamuomba akamsikia. Tuache kutetea ujinga
 
Rest assured mheshimiwa jaji atakuwa mgonjwa hiyo siku, itahirishwa mpaka february mwaka wa kimahakama.
Hawa ni wabunge wa CCM na ni wahujumu uchumi kwakuwa wanaigiza kuwa CHADEMA.
Nijuacho mimi hawa wanakula mamilioni ya fedha zinazolipwa na walemavu kama kodi, zinazolipwa na vipofu, albino na maskini huku wao wakisafiri na fist class kwenda kuuza nchi huko DP.

Watasomesha watoto FEZA na Hopc, watasomesha IST na ulaya lakini nakuhakikishieni nlaana hii itawafuta wao na vizazi vyao.
Mungu hawezi achia hili jambo eti siasa, watalipa tu.

Umeongea kweli kabisa.
 
Tanzania hakuna mahakama. Wanachelewesha muda ili ikifa hiyo tarehe wahairishe mpaka mwakani. Very stupid judges.
 
Desemba 14, 2023 saa nane na nusu mchana Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga kutoa hukumu ya kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 19 ambao walifutwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Uamuzi huo umetolewa Oktoba 24, 2023 na Jaji Cyprian Mkeha wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kupangiwa hukumu.

Wakili wa upande wa wajibu maombi, Wakili Deogratias Mahinyira kwa niaba ya wenzake amesema Hukumu ya kesi hiyo imepangwa kutolewa ikiwa ni baada ya pande zote kukamilisha mawasilisho kama ilivyoelekezwa na Mahakama.

"Shauri leo lilikuwa linakuja kwa ajili maelekezo ya Mahakama (necessary orders), kwa sababu tarehe ya mwisho Mahakama ilikuwa imeeleza baada ya shauri kusikilizwa kwamba leo tuje Mahakama ijiridhishe kama pande zote zimeweza kufanya mawasilisho yake ya mwisho ili Mahakama iweze kupanga tarehe ya uamuzi," amesema Wakili Deogratias Mahinyira.

Halima Mdee ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) na wenzake 18 walifungua shauri hilo Mahakama Kuu Masjala Kuu, wakipinga kufukuzwa uanachama, kwa utaratibu wa Mapitio ya Mahakama (Judicial Review).

Kesi hiyo ilifunguliwa ikiwa ni muda mfupi baada ya Baraza Kuu la Chadema kuunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho wa kuwafukuza uanachama.

Ikumbukwe Juni 2022 Mahakama Kuu Dar es Salaam ilitupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake kutokana na kuwepo kwa kasoro kuhusu jina la mjibu maombi wa kwanza, lakini walifungua shauri ambalo linatarajiwa kutolewa hukumu.

Itakumbukwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson alisema hawezi kutangaza kuwa nafasi za Wabunge hao wa Viti Maalum zipo wazi kabla ya taratibu za Kimahakama kukamilika.
 
Wanawake hawa 19 wajengewe Mnara.

Uitwe, mashujaa wa CHADEMA
 
Heri wahamie CCM wakachukue nafasi za miccm isiyo na akili hata kijiko, SEMA wakifika huko nako wataacha akili Tena watatumia za CCM
Siku zote wanatumia akili Zà machadema hazijawasaidia acha wajaribu za CCM.
 
hakuna jaji wa kuamua hili Tz bila maelekezo ya 'sirikali'
RIP: Jaji Manento, Kisanga, Augutiono Ramadhani, Mzavas.
 
kwa hio mahakama ikiamua warudi wanakua chadema damu damu ?🤔
 
Nilifikiri uzi huu ntakuta watu wanajadili kisiasa kumbe ni kama umbea mwengine wowote tu.

Kwa Tanzania hii, wanaogombea ubunge wote, iwe wa CCM au wa chama kingine chochote wapo kwa maslahi yao zaidi siyo maslahi ya jamii.

Bora liende tu.
 
Nashangaa misuli ya shingo inavyowatoka sijui wamategmea nini, hawa wasingekuwepo mbowe angekaa akaangalia mademu zake na jamaa zake na watu wake wa karibu akawapa, hakuna kitachobadilika hata hawa wakitolewa
 
Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023.

Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema.

===============

Hatma ya Mdee na wenzake 18 kujulikana Desemba 14, 2023

Desemba 14, 2023 saa nane na nusu mchana Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga kutoa hukumu ya kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 19 ambao walifutwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Uamuzi huo umetolewa Oktoba 24, 2023 na Jaji Cyprian Mkeha wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kupangiwa hukumu.

Wakili wa upande wa wajibu maombi, Wakili Deogratias Mahinyira kwa niaba ya wenzake amesema Hukumu ya kesi hiyo imepangwa kutolewa ikiwa ni baada ya pande zote kukamilisha mawasilisho kama ilivyoelekezwa na Mahakama.

"Shauri leo lilikuwa linakuja kwa ajili maelekezo ya Mahakama (necessary orders), kwa sababu tarehe ya mwisho Mahakama ilikuwa imeeleza baada ya shauri kusikilizwa kwamba leo tuje Mahakama ijiridhishe kama pande zote zimeweza kufanya mawasilisho yake ya mwisho ili Mahakama iweze kupanga tarehe ya uamuzi," amesema Wakili Deogratias Mahinyira.

Halima Mdee ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) na wenzake 18 walifungua shauri hilo Mahakama Kuu Masjala Kuu, wakipinga kufukuzwa uanachama, kwa utaratibu wa Mapitio ya Mahakama (Judicial Review).

Kesi hiyo ilifunguliwa ikiwa ni muda mfupi baada ya Baraza Kuu la Chadema kuunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho wa kuwafukuza uanachama.

Ikumbukwe Juni 2022 Mahakama Kuu Dar es Salaam ilitupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake kutokana na kuwepo kwa kasoro kuhusu jina la mjibu maombi wa kwanza, lakini walifungua shauri ambalo linatarajiwa kutolewa hukumu.

Itakumbukwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson alisema hawezi kutangaza kuwa nafasi za Wabunge hao wa Viti Maalum zipo wazi kabla ya taratibu za Kimahakama kukamilika.
Tayari kuna maelekezo kwa majaji kuwaharass Chadema tunapokaribia uchaguzi ujao!
CDM jiandaeni wasaliti 19 watashinda na mtaamrishwa kuwapokea!!Au hata kuwalipa!! Saa100 katika uchaguzi ni jambazi mnafiki wa kutisha sana beware
 
Back
Top Bottom