Hakuna anayejali hilo, waendelee tu maana tayari wameshaonyesha hawana uwezo wa kuendesha maisha nje ya siasa. Hata wakibaki cdm wataishia kuwa masnitch.mwanachama kama halima mdee yule ni likely atakuwa product ya ccm na aweza akatafutiwa jimbo kama gwajima hatampisha kawe. Kuna kuna bulaya na matiko zile nazo ni asset za ccm typically hazitakaa bure bila kufanya kazi ya za siasa. Wakikosa ubunge watalambishwa hata ukuu wa watalambishwa
Rest assured mheshimiwa jaji atakuwa mgonjwa hiyo siku, itahirishwa mpaka february mwaka wa kimahakama.
Hawa ni wabunge wa CCM na ni wahujumu uchumi kwakuwa wanaigiza kuwa CHADEMA.
Nijuacho mimi hawa wanakula mamilioni ya fedha zinazolipwa na walemavu kama kodi, zinazolipwa na vipofu, albino na maskini huku wao wakisafiri na fist class kwenda kuuza nchi huko DP.
Watasomesha watoto FEZA na Hopc, watasomesha IST na ulaya lakini nakuhakikishieni nlaana hii itawafuta wao na vizazi vyao.
Mungu hawezi achia hili jambo eti siasa, watalipa tu.
Inawezekana kabisaRest assured mheshimiwa jaji atakuwa mgonjwa hiyo siku, itahirishwa mpaka february mwaka wa kimahakama.
Hawa ni wabunge wa CCM na ni wahujumu uchumi kwakuwa wanaigiza kuwa CHADEMA.
Nijuacho mimi hawa wanakula mamilioni ya fedha zinazolipwa na walemavu kama kodi, zinazolipwa na vipofu, albino na maskini huku wao wakisafiri na fist class kwenda kuuza nchi huko DP.
Watasomesha watoto FEZA na Hopc, watasomesha IST na ulaya lakini nakuhakikishieni nlaana hii itawafuta wao na vizazi vyao.
Mungu hawezi achia hili jambo eti siasa, watalipa tu.
Mungu unayemlilia na wao wanamlilia huyo huyo ili awaepushe na laana zako,imani katika dini zimebaki kwa wajinga na masikini,wajanja hutumia dini kujinufaisha.
Rest assured mheshimiwa jaji atakuwa mgonjwa hiyo siku, itahirishwa mpaka february mwaka wa kimahakama.
Hawa ni wabunge wa CCM na ni wahujumu uchumi kwakuwa wanaigiza kuwa CHADEMA.
Nijuacho mimi hawa wanakula mamilioni ya fedha zinazolipwa na walemavu kama kodi, zinazolipwa na vipofu, albino na maskini huku wao wakisafiri na fist class kwenda kuuza nchi huko DP.
Watasomesha watoto FEZA na Hopc, watasomesha IST na ulaya lakini nakuhakikishieni nlaana hii itawafuta wao na vizazi vyao.
Mungu hawezi achia hili jambo eti siasa, watalipa tu.
Au utasikia Mahakama haiwezi kuingilia Mhimili mwingine
Upuuzi mtupu. MAHAKAMA inayomezwa na bi. Kizimkazi Kuna MAHAKAMA hapo?Tanzania kwani kuna mahakama?
Siku zote wanatumia akili Zà machadema hazijawasaidia acha wajaribu za CCM.Heri wahamie CCM wakachukue nafasi za miccm isiyo na akili hata kijiko, SEMA wakifika huko nako wataacha akili Tena watatumia za CCM
Inzi wa kijani.......... 🙂Siku zote wanatumia akili Zà machadema hazijawasaidia acha wajaribu za CCM.
Nashangaa misuli ya shingo inavyowatoka sijui wamategmea nini, hawa wasingekuwepo mbowe angekaa akaangalia mademu zake na jamaa zake na watu wake wa karibu akawapa, hakuna kitachobadilika hata hawa wakitolewaNilifikiri uzi huu ntakuta watu wanajadili kisiasa kumbe ni kama umbea mwengine wowote tu.
Kwa Tanzania hii, wanaogombea ubunge wote, iwe wa CCM au wa chama kingine chochote wapo kwa maslahi yao zaidi siyo maslahi ya jamii.
Bora liende tu.
Tayari kuna maelekezo kwa majaji kuwaharass Chadema tunapokaribia uchaguzi ujao!Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023.
Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema.
===============
Hatma ya Mdee na wenzake 18 kujulikana Desemba 14, 2023
Desemba 14, 2023 saa nane na nusu mchana Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga kutoa hukumu ya kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 19 ambao walifutwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Uamuzi huo umetolewa Oktoba 24, 2023 na Jaji Cyprian Mkeha wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kupangiwa hukumu.
Wakili wa upande wa wajibu maombi, Wakili Deogratias Mahinyira kwa niaba ya wenzake amesema Hukumu ya kesi hiyo imepangwa kutolewa ikiwa ni baada ya pande zote kukamilisha mawasilisho kama ilivyoelekezwa na Mahakama.
"Shauri leo lilikuwa linakuja kwa ajili maelekezo ya Mahakama (necessary orders), kwa sababu tarehe ya mwisho Mahakama ilikuwa imeeleza baada ya shauri kusikilizwa kwamba leo tuje Mahakama ijiridhishe kama pande zote zimeweza kufanya mawasilisho yake ya mwisho ili Mahakama iweze kupanga tarehe ya uamuzi," amesema Wakili Deogratias Mahinyira.
Halima Mdee ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) na wenzake 18 walifungua shauri hilo Mahakama Kuu Masjala Kuu, wakipinga kufukuzwa uanachama, kwa utaratibu wa Mapitio ya Mahakama (Judicial Review).
Kesi hiyo ilifunguliwa ikiwa ni muda mfupi baada ya Baraza Kuu la Chadema kuunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho wa kuwafukuza uanachama.
Ikumbukwe Juni 2022 Mahakama Kuu Dar es Salaam ilitupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake kutokana na kuwepo kwa kasoro kuhusu jina la mjibu maombi wa kwanza, lakini walifungua shauri ambalo linatarajiwa kutolewa hukumu.
Itakumbukwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson alisema hawezi kutangaza kuwa nafasi za Wabunge hao wa Viti Maalum zipo wazi kabla ya taratibu za Kimahakama kukamilika.