Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Jaji: MASAA MANNE lazima yazingatie isipokuwa yale yaliyoelezwa yamezingatiwa, ukishindwa hivyo Ushahidi huo haupaswi kupokelewa... Na mimi Narejea kesi ya Mahakama ya Rufaa kuwa kutokuzingatia sheria ya kifungu namba 51 katika kuchukua maelezo inaathiri ushahidi huo.

Mungu tetea watu wako
PGO imeanza kuzua mambo. Eeh Bwana wa Rehema Mungu mweny3 Nguvu Nyosha mkono wako bwana juu ya Mahakimu na Mbowe na kundi lake. Tenda miujiza kwa Jina La Yesu.
 
Hili likesi na makesi yote yaliyoanzishwa awamu ya 5 kwa nia ovu yafutwe, Hangaya na vyombo vyake vya usalama wanashindwa kuona hili? Asubiri hawa akina Mwamba kama watafanya makosa (Ya ukweli) kwenye awamu yake ndipo "arare nao mbere", makesi mengi ya awamu ya 5 yana ukakasi sana. Mfano mmoja tu, Bwana Mrosso asingekuwa na mil 90 ya kumpa Sabaya leo hii angekuwa ndani kwa kesi ya kubambikiwa ya uhujumu uchumi na utakatishaji!! DPP na watu wako futeni hii kesi......
 
Umeongea pointi. Kama mtu ana makosa kweli ashitakiwe. Haya ya kubumba waachane nayo. Binadamu kila siku tunakosea tena kama hawa wanasiasa kama.unawataka huwezi kuwakosa. Atafute sababu nyingine ila hizi waziache.

Bwnaa Mrosso anawakilisha watu wengi. Akina Kabendera, Tito Magoti kama walikosea kwa kuikebehi serikali sheria zilikuwepo za kuwatia ndani lakini wakashtakiwa kwa makosa ambayo hawajatenda. Hii ni mbaya sana.
 
Halafu hapo kuna mabalozi,nchi inaabika tunaonekana wote hamnazo,kumbe ni kakikundi tu
 
Umeongea pointi. Kama mtu ana makosa kweli ashitakiwe. Haya ya kubumba waachane nayo. Binadamu kila siku tunakosea tena kama hawa wanasiasa kama.unawataka huwezi kuwakosa. Atafute sababu nyingine ila hizi waziache.

Bwnaa Mrosso anawakilisha watu wengi. Akina Kabendera, Tito Magoti kama walikosea kwa kuikebehi serikali sheria zilikuwepo za kuwatia ndani lakini wakashtakiwa kwa makosa ambayo hawajatenda. Hii ni mbaya sana.
Walipewa utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na kuendesha magenge ya uhalifu, sababu kubwa kumkosoa bwana yule!! Ni ukatili uliopitiliza!! Mwendesha mashtaka ni wakati wake wa kutenda sasa, sidhani kama watu wote aliowaachia huru alishauriana na Hangaya, hilo jambo lipo ndani ya uwezo wake kabisa, na sidhani kama akitenda hivyo atatumbuliwa!! Kutumbuana kwa sababu tu ya kutomridhisha mkuu wa nchi kumeshaenda, atatumbuliwa akiwa "legelege".
 
Wamwachie tu Mwamba arudi uraiani yule Sabaya mzushi tu!
damedamn.png

Nakucheki tu
 
Hili likesi na makesi yote yaliyoanzishwa awamu ya 5 kwa nia ovu yafutwe, Hangaya na vyombo vyake vya usalama wanashindwa kuona hili? Asubiri hawa akina Mwamba kama watafanya makosa (Ya ukweli) kwenye awamu yake ndipo "arare nao mbere", makesi mengi ya awamu ya 5 yana ukakasi sana. Mfano mmoja tu, Bwana Mrosso asingekuwa na mil 90 ya kumpa Sabaya leo hii angekuwa ndani kwa kesi ya kubambikiwa ya uhujumu uchumi na utakatishaji!! DPP na watu wako futeni hii kesi......

Ndio ikawepo mahakama kuamua, tusubiri mahakama iamue... kama hana makosa mahakama itasema ndio ipo kwa ajili ya kazi hiyo..
 
Walipewa utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na kuendesha magenge ya uhalifu, sababu kubwa kumkosoa bwana yule!! Ni ukatili uliopitiliza!! Mwendesha mashtaka ni wakati wake wa kutenda sasa, sidhani kama watu wote aliowaachia huru alishauriana na Hangaya, hilo jambo lipo ndani ya uwezo wake kabisa, na sidhani kama akitenda hivyo atatumbuliwa!! Kutumbuana kwa sababu tu ya kutomridhisha mkuu wa nchi kumeshaenda, atatumbuliwa akiwa "legelege".
Mazaa ndiye anaweka shinikizo Mbowe afungwe. Katili sana.
 
Raia na wananchi wategemee kujichanganya sana kwa huyo Jaji Siyani kwenye kesi Ya Mbowe wakati wa kusoma hukumu kwa lengo la kupendelea mamlaka yake ya uteuzi

Viashiria vya hii kesi vilishaonekana pale Rais Samia alipoamua kumpandisha cheo Jaji Mustapha Siyani anayesimamia kesi ya Mbowe kuwa Jaji Kiongozi

Rais Samia alishathibitisha BBC akihojiwa na Salim Kikeke kuwa watuhumiwa Wengine wa kesi ya Mbowe walishahukumiwa, Ni dhahiri Rais na wapambe wake walishapanga Mbowe afungwe kwa kesi ya ugaidi, Cha kushangaza hao watu hata mahakamani walikuwa bado hawajapelekwa

IGP Simon Sirro alishathibitisha kuwa Mbowe ni Gaidi kabla ya mahakama mbele ya vyombo vya habari kuwa Mbowe sio malaika, Na ushahidi tayari wanao. IGP sirro aliyafanya hayo kabla ya Mbowe kufikishwa Mahakamani.

Ni ngumu Katika hali ya kawaida Jaji Siyani aliyepewa promotion kwa kupandishwa cheo na Rais aliyekwisha toa hukumu kwa Mbowe akatenda haki.

Labda hao Mabalozi wapeleke Ripoti huko kwao waanze mizengwe kama aliyofanyiwa JPM na kuacha nchi haina kitu huku Uchumi ukiwa mfu.

Rais Samia amepata nguvu na kuwa na Furaha kidogo baada ya wamerekani na washirika wake kupitia IMF kuachia pesa za korona ambazo zitakwenda kujenga hospitali, shule na kusaidia madaktari. Hizi pesa wakati wa JPM tulizikosa huku hali ya Uchumi ikiwa mbaya na serikali kushindwa kupandisha mishahara ya watumishi.
 
Back
Top Bottom