Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Matendo ya yule jambazi yalikuwa hadharani,kila mmoja alijionea live na kwenye footage za cctv ,ameuza na kutesa sana watu na genge lake la kihalifu
 
Mipango mikakati ya Hangaya kuuaminisha umma juu ya Kauli yake dhidi ya Mbowe katika mahojiano na Salim Kikeke BBC ishafanikiwa, Basi anacheeekaaa!

Nikupe ujaji kiongozi na jamhuri ishindwe!!?

Vyeo watu wanapandishwa baada ya kazi, na sio katikati ya kazi nzito!! Huu ulikuwa mpango mkakati!
Na athari zake ndyo hizo
 
PGO imeanza kuzua mambo. Eeh Bwana wa Rehema Mungu mweny3 Nguvu Nyosha mkono wako bwana juu ya Mahakimu na Mbowe na kundi lake. Tenda miujiza kwa Jina La Yesu.
Damu ya yesu kristo bwana wetu ipo kazini... kama mfalme Daudi alivyosema kwamba tangu utoto wake hadi uzee hajawahi kuona mwenye HAKI akadhulumiwa..."
 
jaji: Kwa hiyo kwa hitimisho langu

Naona Mapingamizi yote Mawili yamekosa Mashiko

Kwamba Maelezo yalichukuliwa ndani ya Masaa Manne Kwa Ushahidi, Upande wa Utetezi walioutoa.

Na pia Maelezo yalitolewa na Mshitakiwa wa Pili kwa a ridhaa yake.
 
Nyagi za jana nini? Tupo hewani PGO na MO energy kwa Moses Lijenje on the way to Dar.

Uzi uliwekwa kwa kifupi sana mwanzo, hata original poster naona kabadilishwa na mods...
 
Mipango mikakati ya Hangaya kuuaminisha umma juu ya Kauli yake dhidi ya Mbowe katika mahojiano na Salim Kikeke BBC ishafanikiwa, Basi anacheeekaaa!!

Nikupe ujaji kiongozi na jamhuri ishindwe!!?

Vyeo watu wanapandishwa baada ya kazi, na sio katikati ya kazi nzito!!
Athari zake ndyo hizooh!!
Haki ya Mwenye Haki huwa haipotei japo inaweza kuchelewa
 
Hii kesi ina mambo kadhaa ambayo labda itumike busara za nje ya mahakama ifutwe...

inawezekana awamu fulani ilimtega Mbowe akategeka ikakusanya ushahidi kimyakimya ili wammalize Mbowe.

Inawezekana pia awamu fulani waliamua kuwa wahuni wakabumba kesi wamfunge Mbowe wakiamini wataendelea kuwepo madarakani..

Awamu hii either itumie busara pamoja na yote itoe maagizo kwa mahakama na Mbowe aachiwe
Au iache kesi iendelee ili mahakama yenyewe iamue na hapa kuna mambo mawili inabidi tuyapokee, kama wale jamaa walikuwa smart kwenye mtego wao basi Mbowe anaweza kuchezea miaka na kama sio basi mahakama itamuchia Mbowe huru..
 
Back
Top Bottom