PGO imeanza kuzua mambo. Eeh Bwana wa Rehema Mungu mweny3 Nguvu Nyosha mkono wako bwana juu ya Mahakimu na Mbowe na kundi lake. Tenda miujiza kwa Jina La Yesu.Jaji: MASAA MANNE lazima yazingatie isipokuwa yale yaliyoelezwa yamezingatiwa, ukishindwa hivyo Ushahidi huo haupaswi kupokelewa... Na mimi Narejea kesi ya Mahakama ya Rufaa kuwa kutokuzingatia sheria ya kifungu namba 51 katika kuchukua maelezo inaathiri ushahidi huo.
Mungu tetea watu wako
Mungu awabariki
Umeongea pointi. Kama mtu ana makosa kweli ashitakiwe. Haya ya kubumba waachane nayo. Binadamu kila siku tunakosea tena kama hawa wanasiasa kama.unawataka huwezi kuwakosa. Atafute sababu nyingine ila hizi waziache.Hili likesi na makesi yote yaliyoanzishwa awamu ya 5 kwa nia ovu yafutwe, Hangaya na vyombo vyake vya usalama wanashindwa kuona hili? Asubiri hawa akina Mwamba kama watafanya makosa (Ya ukweli) kwenye awamu yake ndipo "arare nao mbere", makesi mengi ya awamu ya 5 yana ukakasi sana. Mfano mmoja tu, Bwana Mrosso asingekuwa na mil 90 ya kumpa Sabaya leo hii angekuwa ndani kwa kesi ya kubambikiwa ya uhujumu uchumi na utakatishaji!! DPP na watu wako futeni hii kesi......
Sabaya asirudi maana tuna jambo letu kwa mchumba wake bana, kufa kufaana na kila mtenda mabaya humrudiaa.Wamwachie tu Mwamba arudi uraiani yule Sabaya mzushi tu!
wanakuita suguuuuu......naniiii ???????
Halafu hapo kuna mabalozi,nchi inaabika tunaonekana wote hamnazo,kumbe ni kakikundi tuHili likesi na makesi yote yaliyoanzishwa awamu ya 5 kwa nia ovu yafutwe, Hangaya na vyombo vyake vya usalama wanashindwa kuona hili? Asubiri hawa akina Mwamba kama watafanya makosa (Ya ukweli) kwenye awamu yake ndipo "arare nao mbere", makesi mengi ya awamu ya 5 yana ukakasi sana. Mfano mmoja tu, Bwana Mrosso asingekuwa na mil 90 ya kumpa Sabaya leo hii angekuwa ndani kwa kesi ya kubambikiwa ya uhujumu uchumi na utakatishaji!! DPP na watu wako futeni hii kesi......
Walipewa utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na kuendesha magenge ya uhalifu, sababu kubwa kumkosoa bwana yule!! Ni ukatili uliopitiliza!! Mwendesha mashtaka ni wakati wake wa kutenda sasa, sidhani kama watu wote aliowaachia huru alishauriana na Hangaya, hilo jambo lipo ndani ya uwezo wake kabisa, na sidhani kama akitenda hivyo atatumbuliwa!! Kutumbuana kwa sababu tu ya kutomridhisha mkuu wa nchi kumeshaenda, atatumbuliwa akiwa "legelege".Umeongea pointi. Kama mtu ana makosa kweli ashitakiwe. Haya ya kubumba waachane nayo. Binadamu kila siku tunakosea tena kama hawa wanasiasa kama.unawataka huwezi kuwakosa. Atafute sababu nyingine ila hizi waziache.
Bwnaa Mrosso anawakilisha watu wengi. Akina Kabendera, Tito Magoti kama walikosea kwa kuikebehi serikali sheria zilikuwepo za kuwatia ndani lakini wakashtakiwa kwa makosa ambayo hawajatenda. Hii ni mbaya sana.
Wamwachie tu Mwamba arudi uraiani yule Sabaya mzushi tu!
🤣Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanaan au kama anavyofahamika huko Zanzibar , Ustaadh Aboubakar Mbowe akiingia Mahakamani
View attachment 1980551
Baada ya hii kesi, simwoni IGP kwenye position yake, ni aibu... yaani kwa heshima mamlaka ya uteuzi itamwomba apumzike kwa hiari.Halafu hapo kuna mabalozi,nchi inaabika tunaonekana wote hamnazo,kumbe ni kakikundi tu
Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanaan au kama anavyofahamika huko Zanzibar , Ustaadh Aboubakar Mbowe akiingia Mahakamani
View attachment 1980551
Hili likesi na makesi yote yaliyoanzishwa awamu ya 5 kwa nia ovu yafutwe, Hangaya na vyombo vyake vya usalama wanashindwa kuona hili? Asubiri hawa akina Mwamba kama watafanya makosa (Ya ukweli) kwenye awamu yake ndipo "arare nao mbere", makesi mengi ya awamu ya 5 yana ukakasi sana. Mfano mmoja tu, Bwana Mrosso asingekuwa na mil 90 ya kumpa Sabaya leo hii angekuwa ndani kwa kesi ya kubambikiwa ya uhujumu uchumi na utakatishaji!! DPP na watu wako futeni hii kesi......
Kumbe Mbeya ni nchi eee?!!!
Nyagi za jana nini? Tupo hewani PGO na MO energy kwa Moses Lijenje on the way to Dar.Hivi maamuzi ya ile kesi ndogo ni lini?
Unakwepana na kivuli chakoWamwachie tu Mwamba arudi uraiani yule Sabaya mzushi tu!
Mazaa ndiye anaweka shinikizo Mbowe afungwe. Katili sana.Walipewa utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na kuendesha magenge ya uhalifu, sababu kubwa kumkosoa bwana yule!! Ni ukatili uliopitiliza!! Mwendesha mashtaka ni wakati wake wa kutenda sasa, sidhani kama watu wote aliowaachia huru alishauriana na Hangaya, hilo jambo lipo ndani ya uwezo wake kabisa, na sidhani kama akitenda hivyo atatumbuliwa!! Kutumbuana kwa sababu tu ya kutomridhisha mkuu wa nchi kumeshaenda, atatumbuliwa akiwa "legelege".