Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Leo ni leo 🔥🔥 mapingamizi mawili yote yametupiliwa mbali. Watu hawataamini kiongozi wa upinzani kuswekwa ndani😂😂😂, nakumbuka kiongozi wa nchi alisema "mbowe n gaidi na ushahidi huo upo", nyie mnataka hao mabwana wa kuteuliwa wafanyaje? Bado mahakama zetu hazijitegemei. Kenya wametuzidi maendeleo yote yote tu kasoro maendeleo ya kujisifu ndiyo tumewazidi😂😂
 
Piga kazi Jaji Kiongozi Kijana. Ujue dunia nzima inakuangalia! Usibweteke na hongo ya Ujaji Kiongozi! Mind you: You are the very tender age! You have ladder to climb!
 
Kukubaliwa au kutokubaliwa kwa maelezo ya watuhumiwa na mahakama kuna nafasi kubwa kwenye kuamua kama hukumu ya mwisho itakuwa ya haki au isiyo ya haki.
Mkuu wewe tuendelee kuomba haki itendeke, Kuna dhamira ovu ya kuwaadhibu watu wasio na hatia!!

Hakimu wa kweli Ni Mungu TU!
 
Natabiri msiba mwingine mzito wa kitaifa unakuja subirini!!!!!
 
Kama lengo ni kuifanya kesi iwe ndefu akae ndani muda mrefu ni poa tu...ila kama lengo ni kumfunga watakuwa wamekosea sana mahesabu...
 
Mawakili wanajipigia tu mpunga
 
Shukrani ya kuteuliwa kuwa jaji kiongozi ni lazima Mbowe afungwe 😞
 
Ile rushwa ya kupewa ujaji kiongozi haikuwa bure.

Kama hakutakuwa na jitihada nyingine, nje ya kutegemea mahakama ambayo haina uhuru, tutarajie mambo ya ajabu, yasiyotegemewa.
 
Cdm msijikite zaidi kwenye kuhurumiwa na kujenga mazingira ya kuonewa aka kuleta siasa.

Ni wakati wanasheria kutuliza vichwa na kupambana kisheria huko, wakijisahau huko mbele hali inaweza kuwa mbaya....wajikite kupambana kisheria zaidi, kama Mbowe kaonewa dunia itaona na watu tutaon kwa sasa wapambane kisheria...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…