Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mliokunywa bia za sabaya kwa pesa za ujambazi......sasa mnakiu ya bia, kakopeni bia akitoka atalipaMungu mbariki Sabaya, mtetee, muokoe pia mtoe katika mikono ya watesi wake!
Jaji Mkuu akiwepo anaweza kuteleza ulimi tena kama ambavyo amekuwa akiteleza na kumfunga kifungo cha maisha.
Tuna Jaji wa ajabu sana.
Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakob na atende kazi yake leo, Mungu wa Elia aliye HAI, Mungu wa Musaa na asimame leo saa hii tunamuhitaji, Damu ya Yesu Kristo mwana wa Isaka na Yakobo na bwana wetu na iifunike mahakama hiyo leo, imfunike Jaji na wasaidizi wake, iwafunike wote mliopo humo... Wote tunaamini Damu ya Yesu haijawahi kushindwa kwa lolote lile linalopangwa kwa hila na mwanadamu hapa duniani, aliposema IMEKWISHAA alimaanisha hakuna lolote chini ya jua linaweza kuishinda damu hii, tunaomba na kuamini.Polisi walijaribu kumzuia Baba Askofu Mwamakula asiingie Mahakamani , wakachemsha , akaingia na kuungurumisha maombi ndani ya kizimba
View attachment 1980550
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazakeMbowe anasubiriwa ale mvua 30 damu ya Chacha wangwe inamlilia
Dah eti ustadh abubakr MboweMwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanaan au kama anavyofahamika huko Zanzibar , Ustaadh Aboubakar Mbowe akiingia Mahakamani
View attachment 1980551
Pemba hiyo mkuu , wala siyo mimiDah eti ustadh abubakr Mbowe
CCM ina wenyewe acha kupoteza bando lako bure. Subiri Bananga apewe uteuzi ndio mjione mlivyo wapumbavu .Mbowe anasubiriwa ale mvua 30 damu ya Chacha wangwe inamlilia
Kwa jina la Baba,Mwana na Roho Mtakatifu.Bwana Ambarikie,
Amwinurie uso wake na kumlinda,
Amwangazie nuru za uso wake na kumpa amani!
Ni mambo ya hovyo snSheria inasema Kila mmoja ni mlinzi wa mwenzako na Kila raia ahakikishe anajilinda dhidi ya wahalifu. Mbowe alikuwa anatishiwa kuuwa na Sabaya na ushahidi upo alipovamiwa hotelini kwake. Makosa anayotuhumiwa nayo Mbowe ni makosa ya kubumba yaani yametengenezwa na Sabaya pamoja na wahuni wachache ili kumharibia. Lakini wakasahau kuwa kosa moja kwao limemuongezea umaarufu Mbowe na kuwaanika utupu watesi wake.