Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Bwana Ambarikie,
Amwinurie uso wake na kumlinda,
Amwangazie nuru za uso wake na kumpa amani!
 
Sheria inasema Kila mmoja ni mlinzi wa mwenzako na Kila raia ahakikishe anajilinda dhidi ya wahalifu.

Mbowe alikuwa anatishiwa kuuwa na Sabaya na ushahidi upo alipovamiwa hotelini kwake.

Makosa anayotuhumiwa nayo Mbowe ni makosa ya kubumba yaani yametengenezwa na Sabaya pamoja na wahuni wachache ili kumharibia.

Lakini wakasahau kuwa kosa moja kwao limemuongezea umaarufu Mbowe na kuwaanika utupu watesi wake.
 
Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani akiwa tayari kusikiliza hukumu ndogo

Mwakilishi_wa_Ubalozi_wa_Marekani_na_Msaidizi_wake_Kulia%2C_amekuja_Kusikiliza_Kesi_ya_Freeman...jpg
 
Jaji Mkuu akiwepo anaweza kuteleza ulimi tena kama ambavyo amekuwa akiteleza na kumfunga kifungo cha maisha.

Tuna Jaji wa ajabu sana.

Hukumu ni hukumu
Sio story useme mtu anaweza teleza ulimi
 
Polisi walijaribu kumzuia Baba Askofu Mwamakula asiingie Mahakamani , wakachemsha , akaingia na kuungurumisha maombi ndani ya kizimba

View attachment 1980550
Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakob na atende kazi yake leo, Mungu wa Elia aliye HAI, Mungu wa Musaa na asimame leo saa hii tunamuhitaji, Damu ya Yesu Kristo mwana wa Isaka na Yakobo na bwana wetu na iifunike mahakama hiyo leo, imfunike Jaji na wasaidizi wake, iwafunike wote mliopo humo... Wote tunaamini Damu ya Yesu haijawahi kushindwa kwa lolote lile linalopangwa kwa hila na mwanadamu hapa duniani, aliposema IMEKWISHAA alimaanisha hakuna lolote chini ya jua linaweza kuishinda damu hii, tunaomba na kuamini.

Kila mwenye pumzi na aseme "Amein"
 
Maisha ndio haya haya...

Siku zote waoga ndio huwazika Mashujaa...

Haijawai kuwa tofauti na hvo..

Acha tusubiri hukumu hii...
 
Sheria inasema Kila mmoja ni mlinzi wa mwenzako na Kila raia ahakikishe anajilinda dhidi ya wahalifu. Mbowe alikuwa anatishiwa kuuwa na Sabaya na ushahidi upo alipovamiwa hotelini kwake. Makosa anayotuhumiwa nayo Mbowe ni makosa ya kubumba yaani yametengenezwa na Sabaya pamoja na wahuni wachache ili kumharibia. Lakini wakasahau kuwa kosa moja kwao limemuongezea umaarufu Mbowe na kuwaanika utupu watesi wake.
Ni mambo ya hovyo sn
 
Back
Top Bottom