Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Vipi mkuu ni shemeji mjamzito?naskia harufu ya shombo shombo hivi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mkuu ni shemeji mjamzito?naskia harufu ya shombo shombo hivi.....
Hili likesi na makesi yote yaliyoanzishwa awamu ya 5 kwa nia ovu yafutwe, Hangaya na vyombo vyake vya usalama wanashindwa kuona hili? Asubiri hawa akina Mwamba kama watafanya makosa (Ya ukweli) kwenye awamu yake ndipo "arare nao mbere", makesi mengi ya awamu ya 5 yana ukakasi sana. Mfano mmoja tu, Bwana Mrosso asingekuwa na mil 90 ya kumpa Sabaya leo hii angekuwa ndani kwa kesi ya kubambikiwa ya uhujumu uchumi na utakatishaji!! DPP na watu wako futeni hii kesi......
haaahaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Porojo za Lingwenya zimetupiliwa mbali.
ndio raha ya sheria.
cheo kinapandaje katikati ya shauri, hii si ni rushwa kama zilivyo rushwa zingine.Naona kila mmoja sasa anaanza kulalamika kuhusu Jaji hii ndio Tanzania yetu
Siyani JkIle rushwa ya kupewa ujaji kiongozi haikuwa bure.
Kama hakutakuwa na jitihada nyingine, nje ya kutegemea mahakama ambayo haina uhuru, tutarajie mambo ya ajabu, yasiyotegemewa.
hapana kuna harufu ya Kei kei hapa, ni wewe ama?Vipi mkuu ni shemeji mjamzito ?
Tatizo la Mbowe anataka kuleta league.Leo nimekupa Like yangu, Mama aache kubambakia watu kesi. Huku mtaani mama anafanya vizuri sana ni vyema akaachana na hii kesi ya mbowe itamuondolea yale mazuri yote ambayo ameanza kuyafanya ndani ya miezi 7 ya uongozi wake.
Kwa Sabaya walifurahi Sana,yafaa wakubaliane tu.Kitu kizito kimewadondokea butuuuuuu..
Msalimie shemeji yangu hapo....hapana kuna harufu ya Kei kei hapa, ni wewe ama?
Mbowe na Genge lake la kihalifu hawapo juu ya Sheria.Vipi jaji anaendelea au kaona heri kusepa?
Mola ni mwema kila siku...Wote wenye roho za kishetani mtashindwa, maana giza halijawahi kushinda mwanga! Mola wetu ni mwema na atatenda, Mbowe atatoka!
Ingia barabarani kamanda ukinukishe ili Mbowe atokeHii nchi kuna haja ya kutawaliwa tena. Atafutwe mkoloni mzuri haraka. Imeshindwa kujiendesha