Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Achaga ujinga basiUPDATE: MWENYEKITI WA CHADEMA NA WENZAKE WAMEHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 PAMOJA NA FAINI YA MILIONI 460
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achaga ujinga basiUPDATE: MWENYEKITI WA CHADEMA NA WENZAKE WAMEHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 PAMOJA NA FAINI YA MILIONI 460
Hakuna Cha machafuko.....acheni haki itendekeMbowe yuko na mamilioni ya Watanzania serikali iko tested ikimuonea Mbowe inaweza leta fujo na machafuko.
Hivi Mbowe na genge lake wanajisikiaje sabaya kupigwa mvua 30?Nasimama na mbowe
#mbowe sio gaidi
Hivi Samia na na majeshi yake huwa wanajiskiaje kila shauli hili lipotajwa mahakamani?
Majaji wa CCM hawa.Jaji amekosea kieheria na kimantiki kwa hukumu aliyotoa. Nikijikita kwa mantiki ya exception jaji kakosea katika maeneo mengi.
1. Rule of exception inakataa kuwa na two exceptions consecutively in one case( situation). Ndo maana Kuna remarks ( save only)
2. Exception inapotumika kwa kawaida hubenefit the weak point and not the opposite.
3. The concept ya haki kuonekana kutendeka jaji amekosea kutoa hukumu wakati ametoka kubenifit kutoka upande wa mashtaka ( serikali)
Usiamini hawa watu mkuu.Hii kesi kwenye hiyo mahakama naona imeisha kwa huu uamuzi wa kutengeneza wa leo ambao kimsingi umetolewa kama asante kwa mamlaka ya uteuzi kwa kumpa jaji cheo.
Mahakama ya rufaa chini ya majaji watatu ndio napopategemea, hawawezi kutoa hukumu kwa "maoni yao" kama alivyofanya Siyani.
Ni fresh coz mahakama imejirizisha pasipo kuacha Shaka.hivi mbowe na genge lake wanajisikiaje sabaya kupigwa mvua 30?
Kwahiyo ufumbuzi/suluhu ya matatizo yetu ni upi?Ndugu zangu,tumeshindwa kuona tatizo?
Leo tena namtetea Jaji aliehukumu Kesi mdogo ndani ya Kesi ya mwingi ya Mbowe,
Nawatetea mapolisi waliowatesa akina Adamoo.
Hawa hawana kosa lolote zaidi ya kutekeleza maagizo kutoka CCM.
Jamani Mbaya wetu ni CCM.
Hawa majaji na Mapolisi wakienda kinyume na maagizo ya CCM mnajua kitakachowapata.
Adui namba moja Tanzania ni CCMkatiba mpya haitakujabkwa sababu ya CCM.
CCM ndio mtambo wa mateso ya Mbowe.
Ila siku za CCM sasa zimekwisha.
Katiba mpya iko karibu Sana.
Makosa inayoyafanya CCmM ni makubwa bila wao kujijua.wamepigwa upofu.
Suala la katiba ni ccm wenyewe wakiitaka itakuwepo wasipoitaka haitakuwepo.Pia msisahau Mama ndiyo alikuwa mwenyekiti wa Bunge la katiba anaijua vizuriNdugu zangu,tumeshindwa kuona tatizo?
Leo tena namtetea Jaji aliehukumu Kesi mdogo ndani ya Kesi ya mwingi ya Mbowe,
Nawatetea mapolisi waliowatesa akina Adamoo.
Hawa hawana kosa lolote zaidi ya kutekeleza maagizo kutoka CCM.
Jamani Mbaya wetu ni CCM.
Hawa majaji na Mapolisi wakienda kinyume na maagizo ya CCM mnajua kitakachowapata.
Adui namba moja Tanzania ni CCMkatiba mpya haitakujabkwa sababu ya CCM.
CCM ndio mtambo wa mateso ya Mbowe.
Ila siku za CCM sasa zimekwisha.
Katiba mpya iko karibu Sana.
Makosa inayoyafanya CCmM ni makubwa bila wao kujijua.wamepigwa upofu.
Mkuu Ufumbuzi Ni huu hapaKwahiyo ufumbuzi/suluhu ya matatizo yetu ni upi?
Sitaki kuamini kama naona giza mbele yangu, bado najipa moyo japo am very upset.Usiamini hawa watu mkuu.
Sabaya kesi zake ndio kwanza zinaanza kusikilizwa huku akiwa na miaka 30 ya kuanzia mkononi.Mungu mbariki Sabaya, mtetee, muokoe pia mtoe katika mikono ya watesi wake!
Mkuu hujafuatilia maelezo yote ya jaji yakiwa na hukumu mwishoni?!
AMEYATUPILIA MBALI NA KUJITOA KUENDELEA NA SHAURI KUU yaani atafutwe judge mwingine
Si Lissu yuko Ubelgiji akiwabembeleza Wabelgiji waje kutawala TZ ili CHADEMA wapate haki. Kapewa mamilioni anakula kuku kwa mrija huku wajinga wakimuandalia yeye na Wabelgiji kuja kutawala kwa niaba ya CHADEMA.Hii nchi kuna haja ya kutawaliwa tena. Atafutwe mkoloni mzuri haraka. Imeshindwa kujiendesha
Ungekuwa na elimu usingejiheshima unavyojiheshimu. Wewe ni bendera fuata upepo, huna uzee wala elimu unayodai unayo.Huyu jaji ni kabila gani? dini gani? anaishi wapi? mwageni wasifu wake wote... ni lazima ajadiliwe hapa leo, tusimwache atuchezee nyeti zetu sisi ni watu wazima tunamzidi umri na hata elimu by the way.
Kesi ya moto sana hii kila anayekikalia kiti cha jaji kinamuunguza.. Ila atatokea mmoja atakayeinuliwa na hapo ndipo maajabu yatatendekaJaji Kiongozi: ni sawa tunapaswa Kunaendele na Shahidi Lakini nikaomba nishauriane na Mawakili. Sasa Nimeona kwamba Shauri hili ni Moja ya Shauri linalopaswa kuisha kwa haraka.
Jaji: Kama Shauri likienda mfululizo ingechukua Miezi kama Minne
Jaji: Hivyo kwa Majukumu niliyonayo nimeona nijitoe aje Jaji mwingine haraka iwezekanavyo zekanavyo
Jaji ananyanyuka anaondoka Zake.
Kingai aliomba aende chooni na hali hiyo ikitokea baada ya kuzidiwa na maswaliHawa ni wakupuuza tu,
Kwa Sabaya mahakama imetenda haki. Kwa Mbowe mahakama haitendi haki.
Wanapenda wayatakayo wao ndio yatokee nje na hapo hakuna haki.
Wao ndio mizani ya haki!