Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

nikuulize swali dogo naomba ujibu kila JF, jibu objectively usiweke ushabiki

Je COVID 19 wasingekuwa wabunge kuna mtu yoyote Chadema angehangaika kuwavua uanachama? unao mfano wa mtu alievuliwa uanachama na sababu zake? these two things are connected mkuu!

Yaani in short viongozi Chadema wana majina yao wanataka kupeleka bungeni kwa maslahi ya kipesa au mapenzi kina Joyce wa Miwani Makengeza bin Mmbowe, Halima mtoto wa mjini she has outsmarted them!
 
Joyce Mukya alikuwa anapiga jalamba kuukwaa Ubunge wa ngono, inabidi awe mpole kidogo tumalize jambo letu
 
Unataka Samie awe serious na hii issue kwani yeye ndo Mahakama?
 
Hata ikifika huko au 2030 tutataka tuendelee nayo mpaka tujue mbivu na mbichi ili tuweke rekodi vizuri kwà matumizi ya baadae kuna watu watazitapika tu hizo hela.
 
Hamna shida na ubunge wao? Mbona kila siku mpo mahakamani kuweka mapingamizi?

Nani anajua ya 2025?? Au ww umajihakikishia utakuwepo?
 
Chadomo wanazidi kuangukia pua kila hatua 😆😆😆😆
 
Sidhani kama akidi ilitimia kwa haraka na mhemko wa njama za kusitisha ugali wa kina Halima na kuuhamishia kwa michepuko kina Joyce!!

Hivi Chadema wanakula ruzuku za COVID 19? nani anajua hilo?
 
Kwani Samia uliyemtaja ndiye Jaji wa Mahakama? Unataka Rais aingilie uhuru wa Mahakama kwa fauda yenu? No

Siyo busara kumhusisha Rais ktk mambo asiyihusika unless utuambie Rais Samia anahusikaje ktk uamuzi wa Mahakama
 
Wameamua kulazimisha kubaki ndani ambamo mwanzo walipaona hapawafai wakaenda kuunga mkono juhudi dhalimu. Kweli ubaya mwisho wake ni aibu.
 
Mimi sikusoma sheria nilisoma mambo mengine; wala mimi sina upande wo wote kwenye kesi hii. Naomba kuelimishwa na wanasheria. Katika masual ya haki, je, hakuna mambo ambayo mahakama huwa haina mamlaka kuingilia ? Kwa mfano, mahakama ina uwezo wa kunilazimisha nimwoe binti ambaye simtaki? Au mahakama inaweza kuamua masuala ya kisiasa ambayo wapiga kura ndiyo waamuzi? Mipaka ya mahakama ni ipi?

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Ninashauki ya kumfahamu aliyetia saini ya wabumge hao kuteuliwa kutokea Chadema!

..hutamjua kwasababu hayupo ndani ya Chadema.

..upo uwezekano kwamba kina Halima hawakusumbuka kutengeneza barua feki za uteuzi.

..kwamba walikwenda bungeni kwa maelekezo / maagizo na kuapishwa kuwa wabunge.
 
Awe sero kwa kosa gani?

Kuna nchi ama mtu specifically aliyetajwa. Sasa kwa mfano unampeleka mahakamani mtu kama huyu, hiyo kesi itafunguliwa kwa kuzingatia kifungu gani cha sheria na kosa gani litaainishwa kwenye charge?
Mimi sisemi ametenda kosa, wala sisemi aende selo. Iwa wapo walioelewa nimezungumzia nini
 
Yes njia sahihi ni kuwasikiliza - mengi yatajulina kuhusu process yote hadi wakawa Wabunge, kuna muda Mungu ana njia zake kumpaisha ama kumdondosha mwanadamu!!
 
Mahakama ni chombo cha mwisho cha utoaji haki na kutafsiri sheria

Kasome katiba
 
Timu gaidi kwisha habari yao

Safi.sana Mdee waonyeshe kazi mpaka Joyce Mukya akome kupewa ubunge wa kupanua mapaja.
Naskia wewe umeshapanuliwa mapaja jamaa akajigongea 5 rounds. Na inasemekan unamnato wa umajiumaji kwemye k yako.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…