Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
nikuulize swali dogo naomba ujibu kila JF, jibu objectively usiweke ushabikiKesi Yao mbona haihusu ubunge ila uanachama!! Whether walikua na karatasi rasmi or not walichofukuzwa ni kukiuka wito wa Kamati kuu kuhojiwa juu ya ubunge.
So whether walienda kwa barua rasmi maadam Kamati kuu (kama Kamati ya maadili) imewaita na wamegoma hivyo walihukumiwa Ina absentia inahusiana nini na ubunge wao?
Je COVID 19 wasingekuwa wabunge kuna mtu yoyote Chadema angehangaika kuwavua uanachama? unao mfano wa mtu alievuliwa uanachama na sababu zake? these two things are connected mkuu!
Yaani in short viongozi Chadema wana majina yao wanataka kupeleka bungeni kwa maslahi ya kipesa au mapenzi kina Joyce wa Miwani Makengeza bin Mmbowe, Halima mtoto wa mjini she has outsmarted them!