Mkuu,
Alitia saini ni Mnyika kwa ruhusa ya Mbowe!
Muulize Pasco Mayalla atakwambia!
Hiki chama kina upumbavu mwingi sana
Sasa kama sheria hazifuatwi nini kinachofuata si ni shaba tu.Shukuru Mungu unatumia fake Id humu. Kwa kauli hii ungeshakuwa selo
Ndugu yangu elewa tu kina Mdee na wenzake wamefungua Id fake nyingi humu JF kwa ajili ya Psychological game. Hivyo ukute huyo unayemjibu ni Mh Bulaya.Unamuonea wivu Mukya?
Unataka dudu la mwamba? Au una mimba mwamba ameikataa?
Ukute alishatoka siku kadha zilizopita wewe unasema ucku mneneKweli kabisa Hata yule ALIYETOLEWA GEREZANI USIKU MNENE tutamjua aliyemtoa
Mimi sikusoma sheria nilisoma mambo mengine; wala mimi sina upande wo wote kwenye kesi hii. Naomba kuelimishwa na wanasheria. Katika masual ya haki, je, hakuna mambo ambayo mahakama huwa haina mamlaka kuingilia ? Kwa mfano, mahakama ina uwezo wa kunilazimisha nimwoe binti ambaye simtaki? Au mahakama inaweza kuamua masuala ya kisiasa ambayo wapiga kura ndiyo waamuzi? Mipaka ya mahakama ni ipi?
Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
Ukute alishatoka siku kadha zilizopita wewe unasema ucku mnene
Si mlisema ubunge wao umefika mwisho? Mbonaa ghafla mnabadili gia?Yes njia sahihi ni kuwasikiliza - mengi yatajulina kuhusu process yote hadi wakawa Wabunge, kuna muda Mungu ana njia zake kumpaisha ama kumdondosha mwanadamu!!
Haya ni matamanio ya kila mwanaccm.Chadema inaenda kufa kibaya sana
Pesa zipo...wacha wazile.Covid 19 wataendelea kuwepo bungeni hadi 2025
Swali lako dogo sana.nikuulize swali dogo naomba ujibu kila JF, jibu objectively usiweke ushabiki
Je COVID 19 wasingekuwa wabunge kuna mtu yoyote Chadema angehangaika kuwavua uanachama? unao mfano wa mtu alievuliwa uanachama na sababu zake? these two things are connected mkuu!
Yaani in short viongozi Chadema wana majina yao wanataka kupeleka bungeni kwa maslahi ya kipesa au mapenzi kina Joyce wa Miwani Makengeza bin Mmbowe, Halima mtoto wa mjini she has outsmarted them!
Kwani unaamini Tanzania kuna separation of powers?Unataka Samie awe serious na hii issue kwani yeye ndo Mahakama?
Unaamini Tanzania kuna separation of powers?Kwani Samia uliyemtaja ndiye Jaji wa Mahakama? Unataka Rais aingilie uhuru wa Mahakama kwa fauda yenu? No
Siyo busara kumhusisha Rais ktk mambo asiyihusika unless utuambie Rais Samia anahusikaje ktk uamuzi wa Mahakama
Hayo maneno yakomee jf. Ukiyatamka jukwaani utatuharibia kura zetu.Mama anaupiga mwingi sanaaa!
Sukuma gang wamekomeshwa
Kama mama yako mzazi anavyowapanulia watuTimu gaidi kwisha habari yao
Safi.sana Mdee waonyeshe kazi mpaka Joyce Mukya akome kupewa ubunge wa kupanua mapaja.
Kachungulie uliko toka kwa bhinyuChadema no wahuni kibatala ni mhuni zaidi maana hakuna kesi kubwa zenye maslahi kwa taifa aliyowahi kushinda alitaka kumfungisha makengeza ataweza wapi kuwashinda kina mdee sasa ndiyo mnyika ataanza kujinyea maana ndiye aliandika barua kwenda tume halafu anaikataa