Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

Mkuu,

Alitia saini ni Mnyika kwa ruhusa ya Mbowe!


Muulize Pasco Mayalla atakwambia!

Hiki chama kina upumbavu mwingi sana

..Kamati Kuu haikuwateua.

..Mnyika amekana kutia saini nyaraka zozote.

..hiyo ina maana waliapishwa bila kuteuliwa na chama, na bila barua.
 
Unamuonea wivu Mukya?
Unataka dudu la mwamba? Au una mimba mwamba ameikataa?
Ndugu yangu elewa tu kina Mdee na wenzake wamefungua Id fake nyingi humu JF kwa ajili ya Psychological game. Hivyo ukute huyo unayemjibu ni Mh Bulaya.
 
Mambo yamekuwa mambo na jambo limekuwa jambo......Sasa ni muda wa kusikia malumbano ya hoja NZITO za kisheria mahakamani
 
Mimi sikusoma sheria nilisoma mambo mengine; wala mimi sina upande wo wote kwenye kesi hii. Naomba kuelimishwa na wanasheria. Katika masual ya haki, je, hakuna mambo ambayo mahakama huwa haina mamlaka kuingilia ? Kwa mfano, mahakama ina uwezo wa kunilazimisha nimwoe binti ambaye simtaki? Au mahakama inaweza kuamua masuala ya kisiasa ambayo wapiga kura ndiyo waamuzi? Mipaka ya mahakama ni ipi?

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app

..Na mimi sio mwanasheria, ila nitaeleza kile ninachoelewa.

..Mahakama haiwezi kulazimisha kina Halima wawe wanachama wa Chadema.

..Inachoweza kuamua ktk mazingira haya ni kama Chadema ilizingatia katiba yake ktk kuwavua uanachama kina Halima.
 
Ukute alishatoka siku kadha zilizopita wewe unasema ucku mnene

..mahabusu wenzake Nusrat Hanje ndio wametoa ushuhuda kuwa walitolewa gerezani pamoja usiku, halafu kesho yake mwenzao akaapishwa kuwa mbunge.
 
Yes njia sahihi ni kuwasikiliza - mengi yatajulina kuhusu process yote hadi wakawa Wabunge, kuna muda Mungu ana njia zake kumpaisha ama kumdondosha mwanadamu!!
Si mlisema ubunge wao umefika mwisho? Mbonaa ghafla mnabadili gia?
 
nikuulize swali dogo naomba ujibu kila JF, jibu objectively usiweke ushabiki

Je COVID 19 wasingekuwa wabunge kuna mtu yoyote Chadema angehangaika kuwavua uanachama? unao mfano wa mtu alievuliwa uanachama na sababu zake? these two things are connected mkuu!

Yaani in short viongozi Chadema wana majina yao wanataka kupeleka bungeni kwa maslahi ya kipesa au mapenzi kina Joyce wa Miwani Makengeza bin Mmbowe, Halima mtoto wa mjini she has outsmarted them!
Swali lako dogo sana.

Lazima utambue kiini cha mgogoro uliopo kati ya hao Covid 19 na Chadema ni kwenda kwao bungeni bila kufuata taratibu za chama chao, sasa ni obvious tu kama hao wanawake wasingekwenda bungeni pasingekuwepo na mgogoro wowote kati yao na Chadema.

Unaposema tatizo lililopo ni majina mengine yaliyoandaliwa kupelekwa bungeni badala yao ni uongo, kama unayo hayo majina tuwekee hapa tuyaone, vinginevyo Chadema walishasema hawatampeleka yeyote bungeni.
 
Kwani Samia uliyemtaja ndiye Jaji wa Mahakama? Unataka Rais aingilie uhuru wa Mahakama kwa fauda yenu? No

Siyo busara kumhusisha Rais ktk mambo asiyihusika unless utuambie Rais Samia anahusikaje ktk uamuzi wa Mahakama
Unaamini Tanzania kuna separation of powers?

Yule Spika Tulia kule bungeni mwenyewe haamini, nawashangaa nyie!.
 
Chadema msipoteze muda na hawa..
Fanyeni mengine..
2025 ndio mwisho wao hapo wananchi watawafungulia kesi kulipa pesa yooooote

Songeni mbele mahakama zipo kwenye kidole cha mtu

Zingatieni
Assumptions zinawaponza ‘ oh ubunge kwishney sijui kwa nini wagumu kujifunza
 
Tatizo la CHADEMA ubishi na kutotaka kuona mbali,Mkuu wa Muhimili uliojichimbia underground kuzidi(Bunge na Mahakama) ni Mama na Muhimili wa kutunga sheria upo chini ya Dada(Bunge).Uamuzi wa Kaka (Mahakama) tangu mwanzo Dada hakuzingatia.Bado tu CHADEMA hamuoni mnatwanga maji kwenye kinu?kwani hamjui kuwa nchi hii sasa iko chini ya kina Mama? Kweli mnategemea kuwa wakina Halima waondolewe Bungeni ilihali hawapingi Muhimili uliojichimbia underground (Ikulu)?Achaneni na hii kesi,jiandaeni na uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Chadema no wahuni kibatala ni mhuni zaidi maana hakuna kesi kubwa zenye maslahi kwa taifa aliyowahi kushinda alitaka kumfungisha makengeza ataweza wapi kuwashinda kina mdee sasa ndiyo mnyika ataanza kujinyea maana ndiye aliandika barua kwenda tume halafu anaikataa
 
Chadema no wahuni kibatala ni mhuni zaidi maana hakuna kesi kubwa zenye maslahi kwa taifa aliyowahi kushinda alitaka kumfungisha makengeza ataweza wapi kuwashinda kina mdee sasa ndiyo mnyika ataanza kujinyea maana ndiye aliandika barua kwenda tume halafu anaikataa
Kachungulie uliko toka kwa bhinyu
 
Back
Top Bottom