Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Tulivurugwa sanaHata kwenye Mfumo wa chama Kimoja mambo ya kupita bila kupingwa hayakuwepo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulivurugwa sanaHata kwenye Mfumo wa chama Kimoja mambo ya kupita bila kupingwa hayakuwepo!
Unashindana na hayati hamjaweza kumshinda bado ana nguvu nyingi sanaMh..Mbona legacy ya mwendazake Muasisi wa kupitisha watu bila kupingwa, inazidi kupopolewa mawe!
Kwa tamko hili halali la Mahakama ambao ni mojawapo ya mhimili mkuu hapa Tanzania basi tukili kabisa kuwa Jiwe alinajisi ustawi wa taifa letuMahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
View attachment 2570208View attachment 2570211View attachment 2570217
Mh ngoja wanasheria wa walinda legacy waje watoe ufafanuz!!Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
View attachment 2570208View attachment 2570211View attachment 2570217
Bado tunatumia migumo ya kikoloni hivyo basi kuna haja ya kuweka mifumo yetu halisi ya kisheria ambayo itakuwa ni rafiki kwa watanzania.Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Una uhakika asilimia 99% ya wa Tanzania wanajua kiswahili?Huwa ni utahira tu,yani jamii yako 99% watu wanazungumza Kiswahili hata hiyo 1% iliyobaki inafahamu kiingereza kwa shida bado unaandjka nyaraka kwa Kiingereza what for?
Kuna baadhi ya vitu Magufuli alikuwa sahihi sana.
Wanasheria wetu wengi wamekariri sana lugha ya kiingereza kuliko Kiswahili, ni Kama wale Watoto wanaosoma English medium school,wanakua na uwezo mkubwa sana wa kutaja wanyama wote wa porini kwa lugha ya kiingereza,lakini ukiwauliza wawataje kwa Kiswahili hawawezi hata kumtaja Faru au Nyati! Elimu yetu ni ya kukariri na si ya kusoma na kuielewa! Na hili ni tatizo kubwa sana!!Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Ni upumbavu na wizi wa viongozi wa tanzania ni kama sehemu ya kufichia maovu yao kwa sababu wanajua sheria ikiwa kwa kingereza itawafunga wajinga wengi wa tanzania ambao hawajui lugha hiyo sina hakika kama japan ,china na nchi zingine wanatumia kingereza kama lugha yao ya kisheria.Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Labda hapo utoe kama 35% wanatumia lugha za kikabila yani sio kiswahili na wala sio kingerezaUna uhakika asilimia 99% ya wa Tanzania wanajua kiswahili?
Ili wasioielewa lugha ambao ndio wengi wasihoji chochoteHivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Ulimbukeni wetu tuHivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Hizi ni akili zilizoliwa na funza mkuu,muone daktari haraka........Kiswahili alikipigania yule mshamba wa chato kisa hakukijua kiingereza.
Du kabisa umeamua kuandika haya unayoyaandika bila aibu kbs.... yaani bunge alitungi sheria? Acha tupelekeshwe.Hakuna bunge linalotunga sheria, bunge kazi yake kupitia tu.
Sheria hutungwa na Serikali
Court of appeal watapindua mezaMahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
View attachment 2570208View attachment 2570211View attachment 2570217
KunapambazukaWalikua wapi kipindi cha nyuma zaidi ya miaka 7 hv.
Bunge hupelekewa miswada na serikali, wao hupitia na kuipitisha, inrudishwa Serikalini kuthibitishwaDu kabisa umeamua kuandika haya unayoyaandika bila aibu kbs.... yaani bunge alitungi sheria? Acha tupelekeshwe.