Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

Huwa ni utahira tu,yani jamii yako 99% watu wanazungumza Kiswahili hata hiyo 1% iliyobaki inafahamu kiingereza kwa shida bado unaandjka nyaraka kwa Kiingereza what for?

Kuna baadhi ya vitu Magufuli alikuwa sahihi sana.
Una uhakika asilimia 99% ya wa Tanzania wanajua kiswahili?
 
Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Wanasheria wetu wengi wamekariri sana lugha ya kiingereza kuliko Kiswahili, ni Kama wale Watoto wanaosoma English medium school,wanakua na uwezo mkubwa sana wa kutaja wanyama wote wa porini kwa lugha ya kiingereza,lakini ukiwauliza wawataje kwa Kiswahili hawawezi hata kumtaja Faru au Nyati! Elimu yetu ni ya kukariri na si ya kusoma na kuielewa! Na hili ni tatizo kubwa sana!!
 
Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Ni upumbavu na wizi wa viongozi wa tanzania ni kama sehemu ya kufichia maovu yao kwa sababu wanajua sheria ikiwa kwa kingereza itawafunga wajinga wengi wa tanzania ambao hawajui lugha hiyo sina hakika kama japan ,china na nchi zingine wanatumia kingereza kama lugha yao ya kisheria.
 
Tuandamaneni kuitisha maandamano makubwa ya kumpinga Nape na Kassim kupita bila kupingwa.
 
Hakuna bunge linalotunga sheria, bunge kazi yake kupitia tu.
Sheria hutungwa na Serikali
Du kabisa umeamua kuandika haya unayoyaandika bila aibu kbs.... yaani bunge alitungi sheria? Acha tupelekeshwe.
 
Du kabisa umeamua kuandika haya unayoyaandika bila aibu kbs.... yaani bunge alitungi sheria? Acha tupelekeshwe.
Bunge hupelekewa miswada na serikali, wao hupitia na kuipitisha, inrudishwa Serikalini kuthibitishwa
 
Back
Top Bottom