Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Haya maisha bana ya ajabu sana Hiyo mipesa aliyokuwa anaiiba kwa nguvu ameaiacha kaenda na korodani zake tu ambazo kwa sasa zitakuwa zimeshatafunwa na funza
 
Fedha itarudishwa sawa, je Kama ingekuwa wametumikia kifungo wangelipwaje muda na madhila ya hayo mateso
 
Mahakama za juu Tanzania zimetuzidishia imani kiasi kwamba haki inafuatwa kwa sehemu, mfumo haujaoza kabisa.
 
Mama kweli ni Mama.. Mungu tunakushukuru sana sanaaa kutuletea Mama. Mama Samia uishi milele
 
Enyi Watanzania! Hatimaye Mungu kalikumbuka taifa lake Tena.

Tutakurudishia nini Eee Mwenyezi Mungu kwa fadhila hizi Jamani? Dah..

Mungu akupe maisha marefu mama yetu mpendwa Mhe. SSH.
 
Taratibu tunarudi kwenye utawala wa sheria...... Hongera Mama yetu Samia!
 
Kuna pesa ilitolewaga na ccm kwa mashinji na Peter msigwa ilitolewa na raisi hayat magufuli. Ile itakuwaje sasa
 
Nikiukumbuka ule mtiti sina hamu, una cancel Lori la mchanga kuwasaidia wana watoke ndani .
 
Mama Mama mama uyo mama mama mama mama uyo mama ,Mama yetu weee!duuu naimba ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…