Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Haaaaaaa 😳😳😳😳😳!!! MATAGA wazee wa legacy njooni asee ni nn hii tena??
 
Aamyn aamyn!

Tunaposema Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu tafadhali tueleweke.

Mheshimiwa rais hawezi kufanya yote kwa wakati mmoja.

Tuacheni pia maneno ya ajabu ajabu na rejareja kwa rais na tujue kuwa amedhamiria kuipeleka Tanzania mbali kabisa.
 
Wangari Maathai

Juzi uliniona nazingua lakini nlikuwa naeleza uhalisia tu mkuu
 
Hakika Mama anamuumbua sana Jiwe.
Nitahuzunishwa sana nkiona maneno yako ya hovyo kumhusu mama next time.

Sisemi asikosolewe, anatakiwa akosolewe lakini tuheshimuni kazi anayoifanya. Kujenga umoja kwa hali ilipokuwa imefikia si jambo rahisi hata kidogo.

Tuweni na stahamala na staha.

Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Ndo kpindi katiba mpya inahitajika kuliko wakat wowote katika historia ya nchi yetu
Naweza nkapingana na wewe mkuu.

Huoni kama hili linadhihirisha kwamba kumbe anaehitajika ni kiongozi muadilifu tu?? Kupitia katiba hii hii mbona haki zinapatikana??

Najaribu tu kujenga hoja na wala sio kwamba napinga katiba mpya movement
 
Mi 10 tena kwa mama!
.
Lisu asahau juwa rais tuko na mama hadi 2050
Mama anastahili kutuongoza mpaka 2030 kama anavyoruhusiwa na katiba.

Khofu yangu tu ni kwamba atakataa kugombea 2025. Ila tutamlazimisha aiseee
 
Ulinzi na 5 tenaaaaa
Kwahiyo mkuu unachosima ni CDM hamtosimamisha mgombea Urais 2025?? Mmeamua kukomaa na bunge ili litibiwe kwanza??

Zanzibar ACT wameamua 2025 hawasimamishi mgombea Urais, wanampa muda Rais Mwinyi kutuletea maendeleo
 
Hata milelel maana anatupeleka vizuri!

Kina Lisu wasubiri kwa amsterdam kwanza
Hangover ya mwendazake haijakutoka bado. Lakini taratibu utaelewa kuwa mwendazake alikuwa na roho ya kishetani
 
Nchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwendazake kaliua taifa KWA mda ,ila pia katoa funzo KWA watawala wa leo na kesho, nasema Mungu yu hi ,YESU njoooooo , mhukumu mwenda zake na vibaraka wake popote walipo
 
Naunga mkono hoja japo sio wote wakiristu, but nawapenda Sana islamic na sio wote ,bali walioisoma dini kwelikweli , nimeishi nao hasa kipindi nipo utumishi wa umma sijaondoka huko ,wako VIZURI Sana ,hata Sasa Niko nao wapo vizuri

Sie wakiristu tu wanafiki Sana ,nasema na Mungu shahidi wangu ,asema bwana
 
Utajuaje, je kama lilikuwa ni dili la yeue na mahakimu watuchangishe fedha na badaye tena wamrudishie?

sisi wananchi tunaona ni upigaji na wizi wa fedha za walala hoi

Pesa yangu naitaka aisee
Wewe ni jehu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kwanza kuna uwezekano hata hukuchanga
 
Kwahiyo mkuu unachosima ni CDM hamtosimamisha mgombea Urais 2025?? Mmeamua kukomaa na bunge ili litibiwe kwanza??

Zanzibar ACT wameamua 2025 hawasimamishi mgombea Urais, wanampa muda Rais Mwinyi kutuletea maendeleo
Tulia kwanza sindano iwaingieni vyema kusudi ukichaa wenu upone
 
Ile orodha ya waliyochanga anayo nani...ili pesa zirudi kwa wenyewe... Aubndo kusema itapangiwa matumizi mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…