Mahakama Kuu yafuta mashtaka 14 kati ya 25 ya Masheikh wa Uamusho

Hakuna Rais muislam kuna Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.Kama kuna malalamiko hapa ni kwa serikali zetu.Wanaoongoza wanapaswa kufuata sheria za nchi sio imani zao.sijui hoja ni nini kusema walifungwa na waislamu wenzao.
 
Hiv walifanyaga nini?
 
Takhbiiiirrrr
 
Kwa idadi na wingi wa Wachina, lugha ya Kichina ndio inaongoza kwa kuongewa na watu wengi duniani, vipi ukatae Ubudha ambao ndio sehemu kubwa ya dini ya Wachina!?
Aisee lugha yenye wazungumzaji wengi duniani pia sio kichina
 
Kwa idadi na wingi wa Wachina, lugha ya Kichina ndio inaongoza kwa kuongewa na watu wengi duniani, vipi ukatae Ubudha ambao ndio sehemu kubwa ya dini ya Wachina!?
Buddhism hata top three haipo
 
Aisee lugha yenye wazungumzaji wengi duniani pia sio kichina
Weka lugha yenye wazungumzaji wengi ikiwa wachina wenyewe wako 1.4 billion, kwahiyo unataka kusema Wachina hawajui Kichina?
 
Wanatakiwa waachiwe hakuna makosa hapo ni kubumba tu na kukomoana, watu miaka 8 hawahukumiwi eti upelelezi haujakamilika, wanapeleleza nini? au wanataka wajue aina za damu zao? hii nchi stupid kabisa, halafu watu wanafanyaje makosa Zanzibar wanaletwa kushitakiwa Bara hii haipo ni sarakasi tu
 
lugha ngumu kwako sio kwa wengine.......kuna malugha magumu kuliko kiarabu duniani lakini watu wanajifunza na wanaelewa....msitake kulazimisha mnavyotaka nyie.
 
Naomba kujuzwa, hawa Mashekhe(Kama nimekosea spelling mnisamehe)
Je ilishawahi julikana kama nia yao ni nini?
Ndio tunajua wanashtakiwa kwa matendo kama upigaji watu risasi na kumwagia watalii tindikali,
Mpaka watu hawa kufanya hivyo means kuna kitu wanadai.
Jee inajulikana ni nini? Mara nyingi wakifanyaga hivyo wana ambatanisha na demands zao, je zilikua ni nini?
 
Unaweza ukamsikia Mtu mzima wa Kiafrika akisema Haleluya! Haleluya! mbele ya ya Waafrika wenzake wakati sisi sio Waebrania.

Mkuu una hoja tena ikibidi ifungulie uzi tujadiliane.
Au takbir takbir takbir wakati yeye sio mwarabu.
Au azana kwa kiarabu wakti yeye sio mwarabu...
 
Rais ana mamlaka ya kuwatoa wafungwa tu kisheria, si mahabusu! Wahukumiwe kufungwa wakipatikana na hatia au waachwe huru kama hawana hatia. Si vema kuwasotesha mahabusu pasipo hukumu!
Chuki zenu tu, babu seya alitiwa ndani na nani kaachiwa na nani?
 
Hao ni magaidi na watu hatarishi kwa Muungano! Hawawezi kutolewa tuache mahakama ifanye kazi yake! Yaani hao vizazi na vizazi vya marais vitapita lakini hakuna atakayewatoa kwa sababu hakuna Rais aliyetayari kuona Tanzania inafia mikononi mwake!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…