the kind
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 907
- 774
Bismillahir Rahmaanir Rahiim ndio nini??
Hii habari umewaletea waarabu au watanzania tuñaoongea kiswahili.
Heri ungetumia maneno ambayo kila moja anayajua
MWENYEZIMUNGU yeye ndie anaejua kila kitu
Kuwa na busara pia chuki hufupisha maisha
Kwanini wewe mkristo unakua kama mdudu